Marekani yathibitisha kumuua mtoto wa Osama Bin Laden

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Rais wa Marekani mnamo siku ya Jumamosi, Septemba 14, alithibitisha kuwa wanajeshi wa nchi hiyo wamemua Hamza bin Laden.

Marehemu alikuwa mwanawe na pia mrithi wa mwanzilishi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Osama bin Laden, kama ilivyoripotiwa na The Sun.
Trump

Rais amethibitisha Hamza alifariki katika aliuawa katika operesheni ya Marekani. Picha: Trump
Kupitia kwa kitandazi cha Twitter cha rais huyo, Hamza aliuwawa wakati wa operesheni kali ya kukabiliana na magaidi katika mpaka wa Afghanistan na Pakistan

"Kifo cha Hamza bin Laden hakijadhihirisha uongozi muhimu wa Al-Qaeda na uhusiano wake na babake, lakini vitendo vya kihalifu vya kundi hilo,"

"Hamza bin Laden alikuwa kiongozi wa kupanga na pia kujihusisha na vikundi mbalimbali vya uhalifu," alisema Trump.
TUKO.co.ke ilikuwa imeripoti awali kuwa Marekani ilikuwa tayari kumpokeza yeyote aliyekuwa na taarifa kumhusu Hamza KSh 100 milioni.

Serikali ya Marekani ilisema mwanawe kiongozi wa al Qaeda alikuwa ameanza kuwa kiongozi chipuka wa kundi la al-Qaeda.

"Amefichua jumbe za sauti na video kwenye mtandao, akiwataka wafuasi wake kuanzisha mashambulizi dhidi ya Marekani na waegemeaji wake wa Magharibi, na ametishia kuanzisha ushambulizi dhidi ya Marekani ili kulipiza kisasi mauaji ya mwezi Mei 2011 ya babake iliyofanywa na wanajeshi wa Marekani," ilisoma taarifa hiyo kutoka serikali ya Marekani.
 
Habari bila uthibitisho kutoka kwa.
Waarabu wa Kwa Mtogole na manzese bila kuwasahau wale wa Jf ni sawa na CHAI

kimsboy Anasemaje?

Kuna watu wataikimbia hii thread esp wale wanaojitolea kufia dini na kumuacha Mungu. After all, kila moja atavuna alichokipanda.
 
Miaka ya nyuma wakt Osama akijifanya ataiangamiza America kuna mahali niliiwaambia watu fulani wale kuwa hicho mnachokisema kuwa Osama ataliangamiza America si kweli kwa sababu Osama na watu wake ni watu wa kupita na kuangamizwa Ila AMERICA NI NCHI HATA SECOND 1 HUWEZI KUIANGAMIZA AMERICA. Osama na magenge yao ni viroboto ambavyo haviwezi kumdhuru jogoo.

Na niliwaambia ipo siku hao magenge ya kiuhalifu km ya akina Osama yote yataangamizwa kuanzia mtu mojamoja mpk yatabaki ktk makabrash na ktk mitandao tu ila si km majeshi ya nchi ktk nchi husika.

Tazama ss familia ya Osama inaenda kubaki ktk makaratasi tu na kwa America na washirika wake wapo ktk mfumo wa kuangamiza kizazi cha Osama wote wale ambao ambao walienda kinyume nao kuanzia MTU mpja moja kifamilia mpk harufu za makundi yale yote yale ya kigaidi yataangamizwa.

Na ukitaka kujua yote hayo anza kutafakari juu ya vitambulisho vya mataifa mbalimbali ikiwepo Tanzania. Dhumuni ya vitambulisho vipo vingi kifaida ila Moja wapo ya ID hizo ni suala la ugaidi na hii tulilijua kitambo sn (WALE WAONA MBALI) tangia nchi yetu au zote dunia zilipoamua kuridhia mikataba ya kupinga ugaidi, Tanzania ikiwepo. America na washirika wake wanataka kujua binadamu wote wako wapi kwa wakt (WANAPOMHITAJI MTU HUSIKA) na hii itapelekea kila mtu ajulikane yote haya ni wao America kutaka kuja kuwaangamiza wote wasiowataka.

Mpango huu utaenda sambamba na kuundwa kwa NEW WORLD ORDER (NWO) vitambulisho hivyo vitakuwa vikibadilika kadri miaka iendavyo km kuleta microchips zile mpk alama za vidole kubadilika Kwenda kuwa mboni LA jicho na nk. Yapo mengi sn nisiwachoshe.

Ila hili LA Dogo wa Osama ni Moja wapo wa harakati za hao wakubwa kuwaangamiza wale wote wa kuwapinga wakubwa, na zoezi hili pia linawapa ruhusa hata nchi kwa nchi kuwaangamiza wale wote waendao kinyume na waliopo madarakani kuwàangamiza wale wote walio kinyume na matakwa yao.

Tutafakari wote walioangamizwa na hao wakubwa, wako wapi akina Saddam ,Gaddafi na families zao na wengine wengi? Utawongeza .
 
Mwaka 1994 kipindi nipo darasa la tatu F nilikuwa naamini hivi ulivyoandika wewe
 
Taleban hawa hapa na dogo hatujamuona

Ina maana osama alikua na mtoto mmoja tu haiwezekani
 
Back
Top Bottom