Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 34,625
- 55,527
Ujinga wa Mkorea ni kama WA Waarabu tu.Mwisho wa yote, anapewa kipigo. Ujinga!
ni uhakika nk itapotea ila hapatatokea wamarekani kufa wengi ndani ya ardhi yao kwa miongo tele ijayo,pia historia itaandikwa ipyaa usishangae iran ,china wakaliungaWatageuza tena maneno; watapiga mayowe anaonewa! Team Kiduku ni wa ajabu kidogo. Mkuu wewe unaielewa vizuri Amerika; namwona Secretary of Defense na timu yake wakipiga kazi 18 hours a day to explore "different options" kabla ya kuzifikisha mezani pa Commander-in-Chief kwa ajili ya maamuzi ya mwisho. Sasa wanywa viroba humu wasiojua hata mkuki unashikwaje kelele tupu; wanadhani vita ni sawa na mdundiko.
Jambo lisilo na shaka ndani yake ni kwamba Kim anaenda kufanyiwa kitu mbaya no matter what; ni suala la muda tu; kwamba Kim atapigwa sio suala la mjadala.
ni uhakika nk itapotea ila hapatatokea wamarekani kufa wengi ndani ya ardhi yao kwa miongo tele ijayo,pia historia itaandikwa ipyaa usishangae iran ,china wakaliungaWatageuza tena maneno; watapiga mayowe anaonewa! Team Kiduku ni wa ajabu kidogo. Mkuu wewe unaielewa vizuri Amerika; namwona Secretary of Defense na timu yake wakipiga kazi 18 hours a day to explore "different options" kabla ya kuzifikisha mezani pa Commander-in-Chief kwa ajili ya maamuzi ya mwisho. Sasa wanywa viroba humu wasiojua hata mkuki unashikwaje kelele tupu; wanadhani vita ni sawa na mdundiko.
Jambo lisilo na shaka ndani yake ni kwamba Kim anaenda kufanyiwa kitu mbaya no matter what; ni suala la muda tu; kwamba Kim atapigwa sio suala la mjadala.
unaitaj kujifunz zaid kuhusu silaha za nyuklia n technolojia yake acha ushabikiMwaka 2001 baada ya WTC kushambuliwa ile September 11 taifa la Pakistan ambalo linamiliki silaha za nyuklia waliambiwa wazi kabisa na Walker Bush kua wanakaa upande wa Bush au upande wa maadui? Pervez Musharraf aliekua rais wa Pakistan wakati huo alifyata mkia na kuchagua kukaa upande wa US. Maana alijua akikaa upande wa maadui anakula kichapo na nyuklia zake.
US mpk sasa ameshafanya maandalizi ya kutosha kuweza kuishambulia NOKO na tayari ABM ya THAAD imeshajengwa huko SOKO. ambayo itazuia vikombora vote va NOKO huku destroyers za kutosha ziko majini zikihakikisha noko hafurukuti kurusha hizo kombora zake.
So nyie pigeni kelele tu mziki ukianza mtaona noko imegeuka majivu
vita ya sku iz sio unatumia kiasi gani ni technolojia n mbinu zaidi
US military budget per year is 700$ billions while babayao Mrusi anaspend 90$ B per year. Alafu noko 10$ B per year. Alafu mtu wa B 700 aje apigwe na kijikiumbe cha B 10
Maajabu haya. Km mende kuangusha kabati
Yaan ww uliyeandika hapa hujui choxhote juu ya marekani,haujui kwani hao unaowaita vibaraka wa marekani huwa wanenda vitani na marekani. Je unajua dhumuni la nato?.Marekani ana mikwara hatari,sasa mbona anambana tena Mchina ilhali Mchina hayupo vitani,anatafuta huruma ya vikwazo vya China dhidi ya Korea kaskazini hasa vya kutompelekea mafuta,kama anajiamini ya nini? atafute huruma ya Mchina,tatizo la Marekani bila kuungwa mkono na kupata vibaraka wake wa Nchi za Magharibi huwa haendi vitani;naona vibaraka wake wamemnawa sasa anahangaika asijue la kufanya,nao walijifunza vita vya Iraq na Libya kwa makosa waliyoyafanya(Nchi za magharibi kupitia Nato)
Nijifunze Mimi au wewe?unaitaj kujifunz zaid kuhusu silaha za nyuklia n technolojia yake acha ushabiki
Technology bila pesa huipativita ya sku iz sio unatumia kiasi gani ni technolojia n mbinu zaidi
Kweli mkuu.Kuna siku hapa ndani wengi wataukana upande wa Pyongyang........kwenye kumbukumbu zangu hakuna siku hata moja hawa jamaa marekani wamekurupuka kwenye vita...muda woote wanajivuta lakini wakiamka wameamka
Watageuza tena maneno; watapiga mayowe anaonewa! Team Kiduku ni wa ajabu kidogo. Mkuu wewe unaielewa vizuri Amerika; namwona Secretary of Defense na timu yake wakipiga kazi 18 hours a day to explore "different options" kabla ya kuzifikisha mezani pa Commander-in-Chief kwa ajili ya maamuzi ya mwisho. Sasa wanywa viroba humu wasiojua hata mkuki unashikwaje kelele tupu; wanadhani vita ni sawa na mdundiko.
Jambo lisilo na shaka ndani yake ni kwamba Kim anaenda kufanyiwa kitu mbaya no matter what; ni suala la muda tu; kwamba Kim atapigwa sio suala la mjadala.
Kweli kabisa mkuu.Watu wengi humu hawana elimu ya uhusiano wa kimataifa.
Hapa watu wanajua hiyo hatari ni ya Marekani tu na wenyewe hawahusiki.
Suala la N. Korea ni la kimataifa
Yani humu mkuu majitu yanaongea tu bila weledi wowote ktk haya mambo.Yaan ww uliyeandika hapa hujui choxhote juu ya marekani,haujui kwani hao unaowaita vibaraka wa marekani huwa wanenda vitani na marekani. Je unajua dhumuni la nato?
Je unajua warsaw pact. Humu ndani naona baadhi ya watu wanabwabwaja/roboka tu ila hawajui historia ya nchi za magharibi na nchi za mashariki.
Leo hii mtu anasema marekani anaogopa mpk anaenda kwa china ili amshinikize NK wakiona kuwa marekani anaogopa, yaani eti mrusi na mchina watamsaidia north korea,rubbish.
Je mnakumbuka vita vya akin marekan na washirika wake dhidu ya (yugoslavia) to form a federation of states in southeastern Europe, in the Balkans.?
Kipi kilitokea? Kule warsaw pact waliapa kuwa mshirika wake atakapogusua kivita na nchi yoyote kutoka nje ya warsaw pact,washirika wake wataingia vitani, siku ya siku yugoslavia akapigwa kipigo cha mbwa mwitu huku MSHIRIKA WAKE MKUU URUSI AKABAKI ANALALAMIKA TU,BILA HATA KUPELEKA WANAJESHI KUMSAIDIA MSHIRIKA WAKE. "KUMBUKA UPANDE WA WARSAW PACT MRUSI NDO ALIKUWA ANAONGOZA KWA NGUVU ZA KIJESHI,KISHA ANAFUTIA YUGOSLAVIA.
HUYO YUGOSLAVIA WAKT ULE ALIKUWA NA NGUVU ZA KIJESHI MARA 20 KULIKO NGUVU ZA KIJESHI ZA IRAQ. YA SADDAM HUSSEIN,LAKIN ALITWANGWA UKU MRUSI AKIANGALIA TU,KUMBUKA KWA ASILI YUGOSLAIA NA AKINA URUSI WANAO UHUSIANO WA KARIBU ZAIDI WA KIASILI.
Leo hii mtu baki NK ndo awe na uhusiano wa kusaidiwa kivita na mrusi? Ajabu..
Wakt mkidhani nk anao uwezo huo ktk nyukilia je mnazo data za uhakika kt ya AMERICA vs NORTH KOREA? Nuclear weapoan (Warheads) USA 7800 vs NK 6-10 (active).
Shusheni angalau data si blabla hapa!!!!!
Nadhani hata huyo kiduku wanampimia taratibu huku wakimpumbaza na maneno yeye anakomaa na vitendo.Nakumbuka haya majamaa yalikuja kumbamiza Osama tukiwa tumeshamsahau kabisa kama wanamtafuta..
Ogopa sana mtu unamtishia yeye katulia hakuoneshi hata kisu, wewe unamuonesha silaha zako zote yeye anakwambia acha ugomvi tu..
Haya majitu hayakurupuki, hayabadiliki!
Ndugu umenena maana kiduku hayuko pekee yako anakundi nyuma linampa kichwa mpaka anajiamini hivyo..hio vita ikipigwa ndo itakuwa vita ya 3 ya dunia na ikimalizika dunia itayumba kiuchumi na hapo ndo lengo la kuwa na dini moja, chama kimoja, siku moja ya kuabudu na utawala mmoja utatangazwa na hapo ndo shetani ataanza kutawala
Mmeambiwa mtupe hata jiwe tu kwenye ardhi ya Nk mpaka leo ziiiiii,mmekua kama wanawake kwa manenomaneno,toka 1985 hao mabwana zenu wanajitekenya kwa Nk.Ukitaka ayadungue hayo makombora mwambie NOKO ayarushe kuilenga Japan au SOKO. Sio ayapitishe tu. Ayarushe yakatue Japan aone cha moto.
Mara ngapi midege ya US inaruka ktk anga la noko na noko anaangalia tuMmeambiwa mtupe hata jiwe tu kwenye ardhi ya Nk mpaka leo ziiiiii,mmekua kama wanawake kwa manenomaneno,toka 1985 hao mabwana zenu wanajitekenya kwa Nk.
Kweli kabisa humu ndani kuwa watu wanakurupuka tu kuongea ila hicho ulichoelezea ndio ukweli.Naona unaropoka tu. Hebu jaribu kuushughulisha ubongo wako kidogo na kuongea fact.
US hajawahi kuparazwa Somalia kwasbbu jeshi la US lililokwenda Somalia lilikwenda km jeshi la kulinda amani. Ambalo likaanza kulengwa hovo na makundi ya watu wenye itikadi kali. So usitudanganye bhana.
US hajawahi kuparazwa Iraq ktk Vita zote mbili. Miaka ya 90 na 2003 zote Saddam aliparazwa.
Mwaka 90 US aliipiga Iraq ambayo ilikua imeivamia Kuwait na kuikaria kijeshi. Majeshi ya Saddam yalifurushwa kutoka Kuwait yakakimbia hovyo mpk Bagdad. Na wakaendelea kuchapwa mpk wakaacha kuvaa kombati za jeshi.
Mwaka 2003 ilikua ni oparesheni ya kumpindua Saddam. Mpk sasa Saddam ni marehemu. Sasa ni wapi US aliparazwa?
Usitudanganye hapa na story zenu za vijiweni