Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

Aziz 😂
Kwani ikibaki huko chini itaoza. !!
Jamaa ameandika makala ndefu kweli kweli ! 🙏
Mambo ya fweza za chapchap ndivyo yalivyo !
Tulishakubali mpaka asilimia 3 kwenye dhahabu ili fedha ya chapchap ipatikane na ikapatikana kweli !
Lakini peace of mind still haipatikani na haitopatikana kamwe !!
KARMA is a bitch ! 🙏🙏🙏
 
Mafisadi walioiweka serikali madarakani bado wanaangalia watafaidika vipi, CCM ni janga
Hao jamaa watapigwa na ma-Cardiovascular diseases mpaka washangae na roho zao !
Mali ya Umma sio ya kuifanyia mzaha !!
🙏🙏
 
Ndio maana wameweka wazi kwamba ni Kwa faida ya Tanzania na mkipoteza hii fursa adhimu ndio imetoka hiyo.

KWA NINI mwekezaji awe na upendeleo kwa wewe Tanzania. ????

Kwa Mzungu Malawi ni sawa na Burundi, Tanzania ni sawa na Msumbij, Ghana ni sawa na Congo. With one exception: wapi kuna maslahi kwake !

Jiulizeni hivi vitu Watanzanja, tusiwe wapumbavu wakubwa kudhani kuna Mzungu anaipenda Tanzania kuliko Zambia bila sababu za kimaslahi.
 
KWA NINI mwekezaji awe na upendeleo kwa Tanzania. ????

Kwa Mzungu Malawi ni sawa na Burundi, Tanzania ni sawa na Msumbiji.

Jiulizeni vitu hivi Watanzanja, tusiwe wapumbavu kudhani kuna Mzungu anaipenda Tanzania kuliko nchi nyingine bila sababu ya kimaslahi.
Umemaliza 🙏🙏👍
 
Back
Top Bottom