Marekani yaishtaki korea kaskazini kuhusu ununuzi wa silaha kupitia akaunti fake

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Vita ya marekani na Korea

marekani.jpg


Idara ya sheria ya Marekani (,justice department) imetoa malalamiko kwa raia wa Korea ya Kaskazini wamekuwa wakifanya kazi mbalimbali kupitia makampuni ya Kimarekani kwa kutumia vitambulisho bandia.

Wanapokea mishahara mbalimbali na pesa wanazozipata wanatumia kununua program mbalimbali za maangamizi ya silaha hatari Kubwa kubwa. Kupitia mkutano wa waandishi habari Kwenye Jiji la ST Louis Missouri.

FBI wamesema kuwa Kuna maelfu ya watu kutoka Korea wameamia nchi kama urusi na china na kujifanya wafanyakazi wa IT wa kjitegemea wa IT wanaoshi marekani.

Wanatumia taarifa feki kuanzia email, mifumo ya malipo online pamoja na tovuti pamoja na kuwalipa baadhi ya marekani kutumia wifi zao Kisha kuanza kuingilia mifumo mbalimbali ya makampuni na kujipatia pesa.

Sio tu kuongeza mapato ya kununua silaha kupitia pesa hizo nchini Korea Kaskazini pia Baadhi udukua mpaka taarifa kibinafsi za wafanyakazi mbalimbali wa kimarekani na kuiba taarifa na pesa.

#marekani #bongotech255 #Fbi #usalama #teknolojia
 
Back
Top Bottom