Mungu awapitishe kwa amani wananchi wa Kenya ili yasijirudie ya uchaguzi uliopita kwa kua baada ya kila kitu kwisha Kenya itabaki kua Moja....Mungu akupeni kiongozi mwema na mwenye Hekima,na akuondoleeni ghadhabu na roho ya hasira!
BBC BreakingNews: 5 people killed in coastal Kenyan town as voting begins in election, taking death toll so far to at least 9, police say
Babies being carried by mothers now also being marked..... Guys are getting creative and borrowing kids to cut the queues!
Mungu wabariki pia watanzania ili nao wajue kubadili serikali yao hata kwa miaka mitano mitano.Mungu awatangulie watani zetu wajadi. unajua amani kenya ni muhimu sana kwenye east African
union.Hospitali nzuri tunazipata Nairobi, Spea za electronic na za magari zilizoshindikana TZ Tunazipata
Kenya.Mungu ibariki kenya Mungu ibariki East Africa na watu wake sisi sote ni ndugu
High voter turn out ni neema kwa CORD?