Mkuu Kenyan,
Mimi ni Mtanzania lakini kwa sasa nipo hapa Nairobi kama observer wa uchaguzi huu. Nimepitia vituo kadhaa na sasa ninapoandika nipo Gigiri kwenye kituo cha kupigia kura cha chuo cha walimu. Kusema ukweli watu wamejitokeza kwa wingi sana na kuna msururu mrefu kupita kiasi.
Nawatakia uchguzi mwema!!!!!
Tiba
watu msiwe mnaleta habari hapa kabla ya kuzisoma vizuri.
waliouawa sio kwenye tukio la uchaguzi.. it is a different storry..
Pale Mombasa kuna kikundi kinasadikiwa ni cha kiislam.. chenye kuwa karibu na vuguvugu la Muslim Brotherhood ambao wanataka kujitenga na Kenya.. wanataka Mombas iwe nchi..
Basi hao ndo inasadikiwa wamevamia kituo cha polisi asubuhi nakufytaua marisasi ya kutosha...
mkuu huku vurugu za polisi na matamko ya jeshi letu la wananchi na mpagilio mzima wa taarifa za daftari la kudumu la wapiga kura ukijumlisha na elimu yetu ya 60% zero ndo sababu ya watu kujitokeza kiduchu kwenye kupiga kura.Mkuu Tiba hivi mwamko huu kwetu 2015 unaweza kuwepo? Na nini siri ya mwanko huu?
Mkuu Tiba hivi mwamko huu kwetu 2015 unaweza kuwepo? Na nini siri ya mwanko huu?
mkuu huku vurugu za polisi na matamko ya jeshi letu la wananchi na mpagilio mzima wa taarifa za daftari la kudumu la wapiga kura ukijumlisha na elimu yetu ya 60% zero ndo sababu ya watu kujitokeza kiduchu kwenye kupiga kura.
I can the head of IEBC is not too old simply a middle aged man, wise and smart enough to handle his responsibilies. Not like the previous or the NEC (tanzania) whereby they werre already tired of the work considering their age and responsibilities.So far, IEBC is pretty organised, much better than the last election. #transparency
IEBC have to remain organised, impartial, free and fair to the last minute. We do not want to see the repeat of 2007/2008 post elections violence.So far, IEBC is pretty organised, much better than the last election. #transparency