ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
Marando na Dr Slaa wote ni CDM na kila siku wanasimama kwenye majukwaa ya siasa wanapinga Ufisadi.
Tukija kwenye suala la EPA Dr Slaa, anawatambua Mafisadi kina Jeetu Pater, Marando hawatambui?
Hii kweli sinema ya kihindi
ukisikia sheria ni msimeno ndio hiyo ishu sasa..