Elections 2010 Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda

Yes, CHADEMA iko simati ila inatubidi kuwa makini sana na hawa wanamtandao, ni ndugu zetu, baba zetu, marafiki wetu n.k lakini ni wabaya kuliko ukoma! Tunakazi kubwa ya kuwadhibiti lakini hata kama itakuwa vingivevyo kwa kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kututawala mwisho u karibu! Hawa jamaa ni mafia sana tunahitaji nguvu ya ziada maana wakolafu mno. Tuwe makini nao wanaweza kutuongoza lakini si kwa ridhaa yetu! Marando pigilia misumari ya nchi nane huko wasiweze kuiongoa! Mpaka sasa nawashukuru hawa wanamageuzi kwa kazi nzuri tuliyoifikia mpaka sasa, ujumbe wanao na hawapati usingizi. Big up wanamageuzi kote Tanzania!Tusife moyo kuna siku Mungu atasikia kilio chetu!
Nahiyo siku ni october 31 mpendwa, chukua maneno yangu.
 
chadema inashinda,wanajifanya wanaiba kura mwaka huu tumewashiika,hawana hamu.mawakala wengi hapa dar ni wakurya wa ukonga na wale jamaa hawana utani na mtu.
hahahaaaaaaaaaaaaaaa ndugu nibakishie mbavu zangu kidogo manake waniua kwa kicheko.
 
mwaka huu Watanzania tegemeeni mabadiliko, na ninyi mtimize wajibu wenu mkapige kura
 
Safu cha CHADEMA imetulia - Napata faraja nikiwa na wapiganaji kama ZITTO, MABERE, MNYIKA, SHIBUDA, MBOWE na Mzee wa HOJA DR. Slaa.

Shambulieni majukwaa tumalizie kazi.
 
Eeh Mungu,
Hakuna linaloshindikana kwako,tunaomba uwasaidie watanzania wote hata wale ambao Rais mtarajiwa Dr W.P.Slaa hajawafikia physically wampigie kura zao hapo Oktoba,31.
Nguvu iliyotumika kumuangusha GOLIATI mbele ya Daudi ndiyo hiyo itumike kuliangusha hili ligoliati liitwalo thithiemi!
Amina.

Una akili njingi wewe!!!!!!!
 
Ninashauri wanaohusika ktk kupanga mikutano na safari za wagombea urais, ubunge, udiwani kutoka Chadema wahakikishe kwamba choperr ya DR Slaa inaakiba ya kutosha ya avigas, petrol, au dizel kwani inaelekea MAFISADI wameweka mkakati wa kuhakiksiha nchi inaklosa vitu hivyo na si ajabu mgombea fulani akakwama pahali. Tafadhali sana Profesa Baregu wahimize wahusika pote Tanzania.
 
Back
Top Bottom