Elections 2010 Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)
 
Timu ya CHADEMA iko makini sana ! Asante H
 
Jana nilikuwa naongea na jamaa nikawaambia itakuwa poa sana kama mbowe, au zitto mmoja wapo aende kumpa pole bwana shibuda na kuomba kura, vile vile wasisahau kwenda mwanza kufuta nyayo za mkulu, imekaa vizuri sana, akitoka huko apitie Arusha Town kupiga msumari wa mwisho.
 
Timu imekamilika poa kabisa.
 
Yes, CHADEMA iko simati ila inatubidi kuwa makini sana na hawa wanamtandao, ni ndugu zetu, baba zetu, marafiki wetu n.k lakini ni wabaya kuliko ukoma! Tunakazi kubwa ya kuwadhibiti lakini hata kama itakuwa vingivevyo kwa kuwa wanatumia nguvu kubwa sana kututawala mwisho u karibu! Hawa jamaa ni mafia sana tunahitaji nguvu ya ziada maana wakolafu mno. Tuwe makini nao wanaweza kutuongoza lakini si kwa ridhaa yetu! Marando pigilia misumari ya nchi nane huko wasiweze kuiongoa! Mpaka sasa nawashukuru hawa wanamageuzi kwa kazi nzuri tuliyoifikia mpaka sasa, ujumbe wanao na hawapati usingizi. Big up wanamageuzi kote Tanzania!Tusife moyo kuna siku Mungu atasikia kilio chetu!
 
Timu ya CHADEMA iko makini sana ! Asante H
Walisikiliza ushauri wa wengi kuwa watawanyike pembe zote za tanzania wasifuatane wote na mgombea urais kama ilivyokuwa wakati wa Mrema viongozi wote walivyokuwa wakimfuata mtu mmoja. Marando yuko kanda ya ziwa Zitto yuko kanda ya Magharibi, Zanzibar yuko mgombea mwenza, kanda ya kazikazini yuko Mwenyekiti Mbowe, Nyanda za Juu atamalizia Slaa wamesambaa tanzania nzima it is a good strategy, hata kama watu wanasema tunapiga kelele JF lakini ukiangalia on the ground ndicho kinachofanyika, ndiyo maana kuna watu wanauliza Zitto yuko wapi mbona hafuatani na Slaa.
 
Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)

Najua CCM hawawezi mchezo wa Tom & Jerry.

JK atakufa mwaka huu.
 
Hana haja ya Kuja Arusha, Kazi huku imekwisha jana, Mbowe aende Mererani, Simanjiro na Babati mjini kwa siku hizi mbili zilizobaki
 
Jana nilikuwa naongea na jamaa nikawaambia itakuwa poa sana kama mbowe, au zitto mmoja wapo aende kumpa pole bwana shibuda na kuomba kura, vile vile wasisahau kwenda mwanza kufuta nyayo za mkulu, imekaa vizuri sana, akitoka huko apitie Arusha Town kupiga msumari wa mwisho.
Hapa Arusha, CCM iko hoi nasikia leo Salma Kiwete yuko hapa sijui atakuwa na ushawisshi kiasi gani lakini upepo uko chadema na kadri siku zinavyo karibia watu ndiyo wanazidi kuchizika na CHADEMA...Naamini tutashinda
 
Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)

Janja yenu kwisha jua!
 
Kwa sababu Dr Slaa atapiga kura yake kule Karatu, tunaomba Jumamosi apitie Arusha Mjini afanya mkutano pale kutia hamsa zaidi. Baadaye aende Mbulu, Hanang na kumalizia Karatu jioni. Angalua mkutano mmoja kwenye haya majimbo utosha.
 
Zito Kabwe tunaomba angeenda Mwanza kwa mkutano mmoja pale Nyamagana kesho kutoa hamsa wapiga kura kwa ajili ya Wenje, halafu ndio arudi Kigoma kuwakumbusha wanapiga kura wake kuwa Jumapili ndio siku yenyewe.
 
Tunawatakia chadema na wanama[pinduzi wote kila la kheri................kikwete bye bye!
 
Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana Nyamagana ambako kunatarajiwa kutokea Waziri Kijana mbadala (Wenje)
Eeh Mungu,
Hakuna linaloshindikana kwako,tunaomba uwasaidie watanzania wote hata wale ambao Rais mtarajiwa Dr W.P.Slaa hajawafikia physically wampigie kura zao hapo Oktoba,31.
Nguvu iliyotumika kumuangusha GOLIATI mbele ya Daudi ndiyo hiyo itumike kuliangusha hili ligoliati liitwalo thithiemi!
Amina.
 
Wazunguke kila kona yanchi lakin wajue,ccm itashinda urais na wabunge itapata wengi,wapinzani wataambuli baadhi yaviti vya ubunge tena kidogo tu,huo ndio ukweli.
 
CHADEMA inashinda,wanajifanya wanaiba kura mwaka huu tumewashiika,hawana hamu.mawakala wengi hapa Dar ni wakurya wa Ukonga na wale jamaa hawana utani na mtu.
 
Yaani hadi RAHA jinsi walivyojipanga,

Ewe Mola tusaidie sie wanawako UCHAGUZI HUU UENDE KWA HAKI, CCM WASI CHAKACHUE KURA ZETU KAMA WALIVYOZOEA KUCHAKACHUA MIAKA ILIOPITA UCHAGUZI UWE WA HAKI WAKUBALI MATOKEO
 
Angalizo CHADEMA wana mawakala sehemu ambazo hawajasimamisha wagombea ubunge. Wawe macho huko ndiko kura zinaweza kuchakachuliwa kwenye vituo.:yield:
 
Angalizo CHADEMA wana mawakala sehemu ambazo hawajasimamisha wagombea ubunge. Wawe macho huko ndiko kura zinaweza kuchakachuliwa kwenye vituo.:yield:
Kwa hilo usiwe na wasiwasi Chadema imeweka wakala kwa kila kituo hata kama hakuna mgombea wao wa ubunge lakini kuna kura za rais pale, tunaomba kura yako na ujivunie kura yako.
 
Back
Top Bottom