Marafiki zangu niliosoma nao na kuishi nao kwa muda mrefu wamekuwa sio waaminifu kuliko ninaokutana nao kwa muda mfupi

Dx and Rx

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
1,303
3,085
Uaminifu umekuwa kipengele sana katika kusonga mbele ukiwa unajumuisha wapendwa wako wa karibu.

Kukosa uaminifu unapoteza undugu, urafiki, kusaidiana, kujengeana chuki miongoni mwetu, kubwa zaidi unadidimiza hustle zer.

Mtu anapata shida anakuja kukupigia magoti umsaidie aweze kutatua shida yake huku akiahidi kutimiza ahadi kwa uaminifu mkubwa.

Ikifika wakati wa kutimiza ahadi zake anaonesha rangi yake halisi tofauti na ile aliyoionesha mwanzo pindi akiwa ana shida.

Imekuwa mara kadhaa sasa napoteza uaminifu na urafiki kwa watu wangubwa karibu niliosoma nao ama sekondari au chuo kisa ni Kukosekana kwa Uaminifu miongoni mwetu.

Hii hali imekuwa tofauti na hawa watu ninaokutana nao kwa muda mfupi katika hustles, angalau wanaonesha uaminifu japo kidogo kuliko wale niliotoka nao mbali.

Ukimfungia mtu vioo/milango kisa uaminifu wake wa mashaka inaonekana mbaya lakini wao wanasahau ndio wanasababisha haya yote.

Tulienda na kuimarisha uaminifu miongoni mwetu, uaminifu hutuunganisha pamoja, ni sehemu ya tabia.
 
Nimekua nkitafakari sana hili swala, nmegundua shida ni mm mwenye kwann nawaendekeza washkaj wa hvi? bila aibu wiki ile alikupga kizinga, wiki hii tena dah

Hata kama tumesota wote kitaa sawa boys hatutupani ndo kila wiki kibomu. Sahv nasema nakopa sio kusaidia, mtu akikupga kzinga labda 10 unamuulza utanirudishia ln? Asiporudisha hilo ni kufuli asirudi.
 
Mwingine anakuomba kwa mara ya kwanza, ukimpa tu inakuwa ugomvi, hapo ndio unashtuka kuwa sio kama ulivyomfikiria kuwa wa kawaida.

Hawa ambao angalau tunawafahamau tabia zao inakuwa rahisi kuwaepuka
 
Uaminifu umekuwa kipengele sana katika kusonga mbele ukiwa unajumuisha wapendwa wako wa karibu.

Kukosa uaminifu unapoteza undugu, urafiki, kusaidiana, kujengeana chuki miongoni mwetu, kubwa zaidi unadidimiza hustle zer.

Mtu anapata shida anakuja kukupigia magoti umsaidie aweze kutatua shida yake huku akiahidi kutimiza ahadi kwa uaminifu mkubwa.

Ikifika wakati wa kutimiza ahadi zake anaonesha rangi yake halisi tofauti na ile aliyoionesha mwanzo pindi akiwa ana shida.

Imekuwa mara kadhaa sasa napoteza uaminifu na urafiki kwa watu wangubwa karibu niliosoma nao ama sekondari au chuo kisa ni Kukosekana kwa Uaminifu miongoni mwetu.

Hii hali imekuwa tofauti na hawa watu ninaokutana nao kwa muda mfupi katika hustles, angalau wanaonesha uaminifu japo kidogo kuliko wale niliotoka nao mbali.

Ukimfungia mtu vioo/milango kisa uaminifu wake wa mashaka inaonekana mbaya lakini wao wanasahau ndio wanasababisha haya yote.

Tulienda na kuimarisha uaminifu miongoni mwetu, uaminifu hutuunganisha pamoja, ni sehemu ya tabia.
kuna kitabu kimoja cha Joel nanauka kinaitwa Timiza malengo yako kuna page ipo humo iyo page inazungumzia mambo ya marafiki tu kitaftate kinaweza kukusadia kuwa makini kufanya uchaguzi wa marafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom