Marafiki walimuonya Kikwete

Bubu...Tatizo si Kikwete ni Mfumo Mzima....We need overall Change....Who is Clean in CCM?

Chuma, tatizo kubwa zaidi ni Rais, kwa Mamlaka aliyonayo Kikatiba anaweza kuufumua mfumo huo unaodai kuwa ndo tatizo. Kwani mfumo huwekwa na nani si serikali? na Mkuu wa Serikali ni nani? Si Rais... huyo ndo tatizo.
 
Ndugu,Ngurumo ubarikiwe sana.Hakika katika historia ya mashujaa wa kuikomboa Tanzania kutoka katika himaya ya Mafisadi hautasahaulika.Historia itakumulika

Hapa wamo mashujaa waliojitoa kafara katika kuikomboa Tanzania,kama akina Samson Mwigamba,Timbwaga,Malera,Irene Mark,Padri Privatus karugendo,Conges Mramba,Cris Allan,Mwanakijiji,Jenerali Ulimwengu, na wengineo wengi ambao hawana compromise na mafisadi,wenye uchungu na nchi yao.

Mioyo yenu ndiyo tunu kwa watanzania.Mtarudishiwa mara mia zaidi na Muumba
 
Fuatilia makala niliyo post ya conflict theory na utajuwa kwanini masikini wanachomwa moto kwa wizi wa kuku na mafisadi wana HAKI ZA KIBINADAMU.

Napenda kusikiliza nyimbo mpya ya Busheke inayoitwa "Dunia Njia" hasa aya ya mwisho anapomalizia kwa maneno haya "Hata Mungu anaelewa hakuna aliekamilika hapa duniani ila jiulize kwanini walio wengi jela ni masikini usinipe jibu"
 
Ndugu,Ngurumo ubarikiwe sana.Hakika katika historia ya mashujaa wa kuikomboa Tanzania kutoka katika himaya ya Mafisadi hautasahaulika.Historia itakumulika

Hapa wamo mashujaa waliojitoa kafara katika kuikomboa Tanzania,kama akina Samson Mwigamba,Timbwaga,Malera,Irene Mark,Padri Privatus karugendo,Conges Mramba,Cris Allan,Mwanakijiji,Jenerali Ulimwengu, na wengineo wengi ambao hawana compromise na mafisadi,wenye uchungu na nchi yao.

Mioyo yenu ndiyo tunu kwa watanzania.Mtarudishiwa mara mia zaidi na Muumba

Wengine Saed Kubenea, Idrisa Jabir,Al Marhum Ali Nabwa,Makawia wakuhengwa na Ofcourse Rev Kishoka
 
Sihofii wananchi kuchukua hatua mikononi, bali naonyesha ni jinsi gani sheria zinapovunjwa na viongozi, athari zake ni hizo watu kujiamulia mambo!

The missing point hapa ni kwamba ( baada ya watu kujichukulia sheria mkononi wapo watakao bambikiziwa kesi ili wauwawe na kuchomwa moto! Kama ikijulikana watu wa itikadi tofauti wamefanya hivyo mfano CCM/CUF au CHADEMA au Wakristo/Waislam KKKT/KATOLIKI ADVENSTA MASALIA/SABATO wa upande wa pili hawata kubali! then watu wanaingia mitaani kuanza kuchoma moto majumba na kupigana mapanga!) Nchi nyingi amani imepotea pale tu haki zilipo pindishwa. Au sio Mkuu Rev Kishoka?
 
Chuma, tatizo kubwa zaidi ni Rais, kwa Mamlaka aliyonayo Kikatiba anaweza kuufumua mfumo huo unaodai kuwa ndo tatizo. Kwani mfumo huwekwa na nani si serikali? na Mkuu wa Serikali ni nani? Si Rais... huyo ndo tatizo.

Mfumo ndio unaomweka Rais madarakani kwahiyo sio raisi kwa Rais kuugeuka mfumo ulimuwezesha sana sana ataongeza wizara awape ahsante kwa kumwezesha! !
 
Back
Top Bottom