Marafiki mtandaoni chanzo cha wapenzi wengi?

DENNING

Senior Member
Jun 22, 2011
174
109
Hebu na tujadiri hili.mtu unatafuta mpenzi kupitia gazeti au mtandao.bahati nzuri anaandikiwa na watu tuseme 20.wote anaamua kuwatafuta.je hata kama atapata mmoja wa kumfaa, mnadhani ataacha kuwasiliana na hao wengine ambao aliamua kuwasiliana nao na hivyo kupeleekea kuwa na mahusiano nao kimapenzi?.
 
Kwa kweli nakuunga mguu hapa, kwa mtu mdhaifu anaweza kuwa na uhusiano na wote, ila kwa upande mwingine, mtu anaweza kuwa serious anatafuta mtu wa ukweli na akimpata anatulia nae tu.
 
mimi naamini wasichana huwa serious,wakitafuta wachumba kwenye mitandao,ila wakaka siwaamini kiivyo
 
kama mtu anatafuta serious akipata anaweza kutulia na kuwaacha hao wengine..
 
Hebu na tujadiri hili.mtu unatafuta mpenzi kupitia gazeti au mtandao.bahati nzuri anaandikiwa na watu tuseme 20.wote anaamua kuwatafuta.je hata kama atapata mmoja wa kumfaa, mnadhani ataacha kuwasiliana na hao wengine ambao aliamua kuwasiliana nao na hivyo kupeleekea kuwa na mahusiano nao kimapenzi?.

Hivi kumbe watu wakitumaga application za urafiki online wanapata kweli?! Duh, ngoja na mi nijaribu huenda n'kabahatika!
 
Aseee Meku hebu acha kujifanya unajua sana watu eeeh.....umeenda gym leo?
<br />
<br />
Hahahahahah nilitegemea tusi hapa nkwa vile nakujua ulivyo. Anyway tuchat kwenye BBM acha kuwaambia watu wa delete. Pia sikupati kwenye BBM siku hizi. What's up?
 
<br />
<br />
Hahahahahah nilitegemea tusi hapa nkwa vile nakujua ulivyo. Anyway tuchat kwenye BBM acha kuwaambia watu wa delete. Pia sikupati kwenye BBM siku hizi. What's up?

Inabidi u upgrade hicho kiblackberi chako.
 
Back
Top Bottom