Marafiki 2: Mzungu na Mbongo

CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,789
1,782
Mzungu kaja bongo kutalii. Baada ya siku kadhaa kakutana na rafiki yake wa kibongo. Wameketi mahali wanapata vinywaji na bites huku wakibadilishana mawazo. Sehemu ya mazungumzo yao ni hii:
Mzungu: Hii ni mara yangu ya kwanza kuja Afrika. Nilionywa sana nisinywe maji ya huku afrika. Lakini nashangaa nimekuta maji yenu ni mazuri na nimekunywa wiki 2 lakini sijapata madhara yoyote!
Mbongo: Yaani watu ni wapuuzi kabisa sio wa kuwasikiliza. Na mimi wakati naenda Ulaya kwa mara ya kwanza watu walinionya sana nisivute hewa ya kule lakini nilikuwa ninavuta masaa 24 sikupata madhara yoyote hadi nikarudi!
 
Amemjibu vzuri kwan bila maji huwezi ishi,alionywa asinywe maji ya Africa ila hakubeba hayo maji aliyotakiwa kunywa,
 
Back
Top Bottom