samvande2002
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 413
- 34
Kibabu!Kazeeka huyo! kama unaona mtu anaogopa kubadilisha saa/muda - anaona heri awe na saa 2 ni alama ya kuchoka kiakili na kikumbukumbu.
Kazeeka huyo! kama unaona mtu anaogopa kubadilisha saa/muda - anaona heri awe na saa 2 ni alama ya kuchoka kiakili na kikumbukumbu.
labda kama anafanya hivyo wakati yuko nje ya nchi basi saa moja inaonyesha saa za Argentina na nyingine saa za huko aliko.