Mara paap 2020, Mtumishi wa umma kura yako utampa nani?

Mtaani na maeneo ya kazi yapo malalamiko kwa watumishi wa umma kuwa stahiki zao za madaraja, vyeo na madai yao, hawajalipwa mwaka wa 2 sasa. Je kura yako utawapa tena kwa wema huo????
Sio kupiga kura tu, ukumbuke pia kuna kusimamia upigaji kura za wengine
 
Kura wakapige vijana sisi wazee hatupigi kura labda WA huko bushi..
 
Kusimamia haina shida.Si unakua unapambana na halo yako???
 
Kabla hujajua utamchagua nanijiulize watumishi wa umma nchi nzima mko wangapi je mnatosha kumtoa mamlakani NGOSHA THE SON OF LAKE ZONE? Wanasema nyinyi watumishi wa umma ni wepesi sana kama mkate mbele ya chai siku moja tu itawafanya kusahau machungu yote mliyopitia na wakirudi tena ni mwendo wa kuwakamua na kuwanyoosha kabisa kwanza hawana haja na kura zenu mkijifanya wajuaji wakiingia madarakani lazima tuwashughulikie mmoja baada ya mwingine kila mmoja kwa muda wake Wakiuzidi ungana nao tu ccm si wa jana wala kesho kuwatoa madarakani mpaka muache unafiki na ulaghai kwa wananchi
 
Sawa wameshika mpini.Taratibu za kazi na mikataba haifuatwi sio?
 
Back
Top Bottom