Mara Paaaaap,!

Kuna mkoa mmoja hivi nilienda,mvua ilikuwa inanyesha sana na umeme upo kama kawaida

Ila hapa Dar kukiwa na dalili ya mvua tu wanakata

Nyaya za umeme za Dar na nguzo ziko kama biscuit nadhani. Maana matone yakianza kudondoka tu wanakata
 
Zile treni zetu za Umeme zikianza ku operate kwenye vipindi vya mvua sijui itakuaje

Mara paaaaaap iiiiiiiiii kitu kimezimikia Ubenazomozi
 
Nyie mnaosema dar hamna umeme inabidi mtuambie mnakaa dar sehem gani mbona huku kwetu upo vzr tu
 
Back
Top Bottom