togetherTight
Member
- May 21, 2017
- 99
- 100
Tupeane taarifa zaidi toka maeneo mengine kama kuna madhara au taarifa zozote kuhusu.
Nipo Mwanza.
====
UPDATE
Nipo Mwanza.
====
UPDATE
Uko vizuri asee 😆
Na Mwanza tayari limepita.Tetemeko kubwa latikisa mjji wa Musoma muda huu
Amepost huku anatetemeshwa na tetemekoPoleni
Nipo Mara ,tetemeko la ardhi limepita la hatari ,ilikuwa saa 10 na dakika 50 alfajili ya leo ambalo limeitikisa nyumba kama dakika 3 hivi ,laiti nyumba hizi zingekuwa sio imara zingekuwa zipo chini ,ila sijajua hali ikoje maeneo mengine,tupeane taarifa
Je huko ulipo hali ikoje ?