Hiyo kweli ni kwa akili yako, unaanzaje kwanza kupata gold kwa kutumia gold detector?. Hii field ina wenyewe.
kiongozi soma tena habari.
Umeambiwa TMAA wametusaliti wamekula helaaaa.
Haushangai mzungu aingie gharama ya kusafirisha mikontena miaka yote alaf aseme apate hasara.si angejenga huo mtambo hapa.au huo mtambo mkubwa kiasi gani mpaka ushindwe kujengwa hapa?
Kwa akili yangu ndogo dhahabu kwenye mchanga.unaweza kuipata hata kwa kutumia gold detector.