patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 568
kiufupi, huo wimba haufai kabisaaaaa... Kwa kuwa ni wimbo wa ibada wa kanisa katoliki.
Weka reference mkuu ili tuelewe; may be you are right!
kiufupi, huo wimba haufai kabisaaaaa... Kwa kuwa ni wimbo wa ibada wa kanisa katoliki.
kiufupi, huo wimba haufai kabisaaaaa... Kwa kuwa ni wimbo wa ibada wa kanisa katoliki.
Hivi ni kwanini Wimbo wetu wa Taifa unaanza kwanza na Mungu Ibariki Afrika na sio Mungu Ibariki Tanzania Kwanza?
Lengo hasa ni nini? Je Afrika ni muhimu kuliko Tanzania?
Je kuna haja ya kufuta Ubeti wa Kwanza na kubakiza tu Mungu Ibariki Tanzania?
Mkuu Kijakazi, Swali lako zuri sana. Katika kujibu swali lako naomba nitumie mtindo wetu wa swali linajibiwa kwa swali. Tanzania ni sehemu ya Afrika bla Afrika hakua Tanzania. Wewe unaitwa Kijakazi, "Kijakazi" hasa ni nini katika mwili wako??? Je ni mkono la hasha ungeitwa mkono wa Kijakazi, je ni kichwa? La hasha kingeitwa kichwa cha Kijakazi. Nikitaka kuelezea chochote kilichopo kwako wewe Kijakazi iwe ni mguu, mkono, kichwa reference ni nafsi yako iitwayo KIJAKAZI wewe ni Kijakazi lakini wewe si kichwa pekee, walia mwili pekee, miguu pekee bali hivyo vyote ni sehemu ya Kijakazi ambacho si chochote katika hivyo na vinginevyo katika Kijakazi.
Afrika bila Tanzania si hii tunayoifahamu na Tanzania bila Afrika si hii tunayoifahamu. Huwezi kufanyia mabadiliko wimbo adhim kama wimbo wetu wa taifa ambao Mtunzi wake ni Enock Sentongo wa Afrika Kusini.
Chezea Mungu Ibariki wewe!!!!!