Mapokezi ya Kheri James yatikisa Mwanza

b1e95ef36fd967d21219c40184477b2d.jpg

61c5ff698a5423b149e63226c98d83cf.jpg
Hiyo picha juu....,aliyeko kulia mbona kafanana na Gabriel Jesus
 
Piga rewind siku zirudi 2015 ili uzungushe mikono kama nzi labda itakisaidia mkuu


Siasa haijawahi kuwa utoshelevu wa matumbo,yawezekana wewe unayeandika haya,familia yako haina uhakika hata ya mlo wa leo,wewe uliyemchagua magufuli hadi sasa amefanya lipi kwenye maisha yako hadi ufikie kuwabeza wasiomchagua?

Tukiendelea kuifanya siasa kama soka la bongo,tutaishia kushangilia tu huku wenyewe tukizidi kutaabika kwa hali ngumu ya maisha.Kama hakuna mwanasiasa awezaye hata kukupa kibaba cha unga,unataabika mwenyewe kuhemea vya nyumba yako,ufedhuri huu unautoa wapi?Au nawe ni miongoni mwa familia chache zinazofaidi mema ya nchi hii?
 
Back
Top Bottom