Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,048
- 144,454
Huyo waziri hamna la maana atakaloenda kufanya zaidi ya kuuza sura tu.
Hiyo mifigo inatia huzuni sana!!
Hiyo mifigo inatia huzuni sana!!
Lakini hawa mbuzi si huwa wanachinjwa pia shingoni kwa kisu? Au hapo si kuwaonea?kwa nini wanawaonea hawa viumbe?
Kita mtu arudi kwao kwa kweli,wasukuma kwenu, Wamasai kwenu
kuchinjwa sawa lakini si kuwakata miguuu na maeneo mengine ya mwili huku wakiachiwa maumivu makali jamani nimeumia sana.. akichinjwa anakufa .. ndiyo maana ahata binadamu akifa tunasema kapumzika loh... si kuwaachia hawa viumbe hayo maumivu makaili hivyoLakini hawa mbuzi si huwa wanachinjwa pia shingoni kwa kisu? Au hapo si kuwaonea?
Wafugaji lazima wawe walinzi wa mifugo yao, wakila mazao ya watu na wao waisome namba.
waziri Mwigulu upoooooooooooooo mbona hatupatiwi majibu kamata wauwa mifugo tia ndani
Mpe muda, atalifanyia kazi. Na issue sio kutia ndani tu, kubwa ni kutafuta suruhu ya mgogoro huu..
unawapongeza kwa lipi? yaani huna hata huruma kwa hao viumbe wasio na hatia?Nimesoma na kutafakari. Nimebaini hakuna mapigano hapo. Bali wananchi walikuwa na hasira ya mifugo kula nusu ekari ya mazao. Hebu fikiria mifugo inakula mazao kiasi hicho na wafugaji wanaangalia tu. hao si wauaji? Ila nawapongeza wakulima kwani wangemuua binadamu ingekuwa habari nyingine
Nimesoma na kutafakari. Nimebaini hakuna mapigano hapo. Bali wananchi walikuwa na hasira ya mifugo kula nusu ekari ya mazao. Hebu fikiria mifugo inakula mazao kiasi hicho na wafugaji wanaangalia tu. hao si wauaji? Ila nawapongeza wakulima kwani wangemuua binadamu ingekuwa habari nyingine
Mifugo wamekula nusu hekari tu, ambayo thamani yake sidhani kama inafika nusu million
Wao, wameuwa mbuzi na kondoo 200, ambayo, kwa bei ya 50,000 mmoja, inafika takribani 10,000,000,
Na pili, mnyama hana akili, kwa nn ahukumiwe, tena kifo cha kikatili hivyo
Kwa nn wasikamate hiyo mifugo na kubinafsisha, kulingana na thamani ya hasara waliyopata.
Hii ni chuki kubwa, tena ya kijinga kabisa, imeachwa imekuwa na kukomaa, imeota mizizi
Unachosema si kweli!fuatilia Mara ya mwisho tukio la kukatwakatwa mifugo huko huko lilikuwa baina ya makabila yapi kama si ya wamang'atinilikuwa na shama maeneo hayo Masai kaingiza ng"ombe wake shambàni kwetu namuuliza ananiambia ikale wapi lakini Wa fugaji ni wamasai peke yao mbona wama ng"ati hawana ugomvi wapo pia wasukuma kule Kilombero mbona hakuna mapigano hawa wamasai Wa Dogo ,kiteto, Mvomero, sunya leiseri mbona wagomvi sana
Ni kitendo cha kinyama sana, ila nao wafugaji kwa nini wanapeleka mifugo yao ktk mashamba ya wakulima?Hii sio sawa kabisa ni kukosa u binadam hivi mifugo inakosa gani
Acha ujinga wewe,sasa hao wanyama waliokatwakatwa wana makosa gani?halafu umeambiwa wanyama waliokatwakatwa sio wale walioingia shambani,ni wa mjane mwingine kabisa.Kwenye makosa ni hiki kikundi cha kigaidi kinachoandaliwa na watawala.Nimesoma na kutafakari. Nimebaini hakuna mapigano hapo. Bali wananchi walikuwa na hasira ya mifugo kula nusu ekari ya mazao. Hebu fikiria mifugo inakula mazao kiasi hicho na wafugaji wanaangalia tu. hao si wauaji? Ila nawapongeza wakulima kwani wangemuua binadamu ingekuwa habari nyingine