Mapenzi yananitatiza

Mdada it takes more than kufua na kupika to win a man's heart. Kma unaweza sogea dar ukabe rofu otherwise utaishia tu kudhani anakupenda we na mwanao.
Just curious, tangu mwanao akiwa class one na sasa yuko form three!!!! hakuna ndoa hapo, move on. let the truth be told!

I hate it when such things happen to sistas out there. Dada do not waste the best years of your life. I wish I knew are the saddest words to use to describe your life.

Dada highlight at the next stop na mwambie the ride is over....
 
dada skiza uyoo jamaa ankuzingua mwambie kuna jamaaa kajitokeza anataka kukuoa
je yeye an mpango gani sasa nawewe course ni mda umepita,alafu msikilize
 
Dada yangu omwana, kufikia kwake na kupokea simu free si kigezo cha kukufanya wewe uwe na uhakika kwamba jamaa hajaoa.kuna jamaa nilikuwa nafanya naye kazi, jamaa alikuwa mjasiriamali mzuri tu ana mke na mtoto mmoja. lkn jamaa ana nyumba mbili fully furnished. moja anaishi na mke wake mitaa ya kinondoni, halafu ana ki apartment kapangisha mbezi beach, huko sasa anahamia pindi mchumba wake km mwenyewe anavyomuita akija toka uganda. anamuaga mkewe anakwenda kibiashara uganda anapanda basi anashuka kibaha anarudi mbezi beach, anakodisha gari full tinted na line anabadilisha so anakuwa hana mawasiliano na wife wake, kwa mtindo huo akija huyo mchumba wake anakuwa free na simu kupokea, kuandika sms, mchumba toka uganda anajua kapata kumbe kapatikana. zoezi likiisha ile geto inabaki ya mauaji mafupi mafupi. nadhani sasa omwana utakuwa umepata full picha, unapotezewa muda tu, kakufanya nyumba ndogo huyo.
 
Back
Top Bottom