Mapenzi yana nitatiza jamani

Anakuthamini,anakupa moyo,anakusaidia kadri ya uwezo wake,anakushauri,anatumia muda wake free na wewe,anakujulia hali kupitia mawasiliano.....yuko comfortable around you.......take time,you will get to know!!
 
na amani ipitayo amani zote iamue moyoni mwako, je unayoamani na huyo uliye naye?
 
Kama we demu utajua kwa kiasi cha hela anachokupa. Kama we men utajua kwa namna anavyokupaga kirahisi, full stop.
 
ni ngumu kujua, lakini kwa haya machache utaju.
1 anapenda kukutazama hasa kwa kuibia, pia mkiwa pamoja anakuangalia machoni utaona macho yake.
2 kama ni marafiki au mko karibu, angalia mguso wake, atakushika mikono, bega, mkiwa kwenye public.
3 atapiga simu kila siku na pengine mara kadhaa kwa siku
4 atakuwa tayari kukusaidia pale upatapo shida
5 atapenda kwa nawe popote
6 atakuhadithia maisha yake ya zamani mabaya na mazuri pia.
na mengineyo mengi.

kweli bwana mi nimeshuhudia mpenzi wangu hakuwa akipenda niende kwake,tuongozane wala kuonekana na wengi ila sasa hivi hatuelewana na anataka nimngoje miaka mitatu du!
Mapenzi ni hesabu. Na kupenda si kitu kitu bali kupendwa.
 
Siku hizi kuna mapenzi ya siku 2 au 3
Mtu wa kukupenda kweli ataonekana kwa kukujali ktk shida na raha
 
baba bila cash, huna jipya! Mi nauuguza maumivu hiv jana 2 nimeambiwa bila fedha nikafie mbali!! mapenzi yalikuwa enzi hizooo! Dunia ya sasa, huna mkwanja utaishia kunawa baba!!!
 
Kwi kwi kwi!
Unataka kupendwa? Anza wewe kupenda bana.....acha uvivu asee!
 
Anavyokujali anakumiss ukiwa haupo anakuheshimu na kukusikiliza unachomwambia pia anakulinda
 
Hili swali lilishajibiwa. Mi nasikia uvivu kujibu mara mbili mbili.
 
Back
Top Bottom