Mapenzi yana nitatiza jamani

Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe/
Na wenye nazo hawajatulia, wanawakatia mikwanja,wanawatumia, wanawaacha,wanawakimbia/ FID Q
 
Anakutazama kwa jicho la kuibia. Hii ina apply kwa wanawake wengi, wanaume wachache.
 
ni ngumu kujua, lakini kwa haya machache utaju.
1 anapenda kukutazama hasa kwa kuibia, pia mkiwa pamoja anakuangalia machoni utaona macho yake.
2 kama ni marafiki au mko karibu, angalia mguso wake, atakushika mikono, bega, mkiwa kwenye public.
3 atapiga simu kila siku na pengine mara kadhaa kwa siku
4 atakuwa tayari kukusaidia pale upatapo shida
5 atapenda kwa nawe popote
6 atakuhadithia maisha yake ya zamani mabaya na mazuri pia.
na mengineyo mengi.
 
Back
Top Bottom