Mapenzi ya siku hizi yako hivi...

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
1,220
1,411
Mapenzi ya sisi vijana wa millennial banaa..!!

Twende pamoja mwanaJF.

Yaani ni vile khadija anaumizwa na muddy, na yeye anaenda kumuumiza abdalah..!!

Unakuta Michael katendwa na Vailet,
Duh hasira na uchungu wote wa moyoni anaenda kuumiza na yeye Sarah wa watu..!!

Kwani ushasahau? Member mwenzetu zero iq aliumizwa na demu akiwa freelancer (fl).

Unajua nini kikatokea baadae?

""Anachakata sana papuchi za Dom""

Na alikili mwenyewe".....Niko hivi (mchakataji) kwasababu ya ule uchungu wa mapenzi nikiwa fl.!!""

Kuna jamaa angu mmoja aliniambia.....

""Mr. Liverpool mi huwa nina misemo yangu ya kujipa moyo kama, never give up & shit happens. Nimekua nikiitumia sanaa kwenye kupigania maslahi ya biashara zangu ila kwenye mapenzi nimeshindwa kuapply kabisaa..Moyo unauma nyeeeeh Mr. Liverpool.""

Watu husamehee wakitendewa na kutendwa kwenye mambo mengi ila kwenye mahaba...Wameshindwa samehe kabisa ni full kulipiza kisasi""

Kutokana na uchungu wa kuumizwa moyo kwenye mahaba, sasa hivi kuna...

1. Wanawake = wadangaji

2. Wanaume = piga/pita na kusepa

Unafikiri hawana moyo wa kupenda hawa?

Ni vile walitendwa na wameshindwa samehe, nafsi zao zinatafuta fursa za kulipiza visasi...

Mwana jf hebu jiulize...

"Huyo uliyenae ndio kafika au amepata mnyonge wake wakulipiza kisasi kwa machungu aliyosababishiwa huko aliko toka ndio anakulia tu timing akuumize?""

Mungu atuongoze.

#ASANTE

#YNWA
 
Wanawake...Wanaume wotee tumekua WAHUNI TUUU wa kuvua VYUPI..!!

#YNWA
Huwa nachukia sana watu wanapolaumu upande mmoja.

Kama kuumiza tunaumizana wote na hakuna mwenye haki ya kumuumiza mwingine..

Kwa mfano siku hizi watu wanasema Sana juu ya kutokumsomesha mchumba coz atakuja kukuacha, wamesahau kuna kipindi wanawake waliumizwa sana..

Mwanamke anaolewa na mtu asiye na kitu. Wanaanza maisha kwenye chumba kimoja tena hata kula yao ni ya shida. Mungu anawajalia wanapata hela wanajenga, wananunua gari na maisha yanakuwa ya starehe, mwanaume anamtelekeza mke wake kuwa sio wa hadhi yake anachukua mwingine anayejua starehe.
Mke na watoto wanaishi kwa shida hapo mke alikuwa ni mama wa nyumbani.

Mungu atusaidie tuthaminiane kwenye mahusiano /ndoa zetu na sio mmoja kujiona wa maana zaidi kuliko mwenzie..
 
Nakukatia(nakutongoza) unanikataa naenda kwa mganga nakuloga unakufa! Nakuja kwa mazishi yako naona unavyozikwa nacheeka!!!!! ( naimba tuu)
 
Yani ni Mungu atusimamie na kutuongoza kwamba kaja kukulia timing alipize kisasi chake huezi jua siri iliyoko ndani mwa moyo wa mtu
Afu unakuta wewe ndo umempenda unahisi umefika kumbe mwenzio ana siri yake aisee, I wish ningekua najua siri za watu ili nijiondoe mapemaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom