Mapenzi ya PWANI atiii....!

Hapo unapepewa halaf unaimbiwa tarabu heheeh pwani raha jamani

Ni kweli, kuna raha zake! Bt usisahau na kuibiwa kisayansijadi kunahusika, hujasikia kidume kilipelekwa bafuni kimebebwa mgongoni , bafuni kumeandaliwa kigoda na kisosi, kidume kikaketishwa kigodani, kisha kisosi kikatumika kuwekea kende (hizo parachichi mbili kisosini ndo zikaanza kuogeshwa)
mara katiwa ulimi wa sikio ! weee! Kesho yake si alipeleka hati ya banga!
Mchezo tupa kulee!
 
hehehe sasa hapo baba Cantalisia unazani utatoa talaka kweli? Mwanamke akilijulia penzi haachwi bana anaacha tu. (Basi wakija wenyewe watabisha)
Kaka kule Tanga ilibidi niwe na moyo wa Chuma la sivyo ningemsahau mama Ngina..........Binti akikuangalia macho yake yamelegea utadhani anakuita................
 
Baba...
baba...
Mwanangu kwani hujui nilikwenda kule kikazi kwenye ule mradi wa Malaria? Kule tunazalisha Mbu na kuwachunguza ili kujua wanaambukizaje Malaria sasa huo muda wa kuchungulia mabinti ningeupata wapi.............!?
Naomba usije mwambia mama yako...........haya maneno yaishie humu humu.....................................LOL
 
mmmmh! Haya, naficha siri ila ukirudia tena kuchunguza mabinti wa huko nitaenda kusema kwa mama.
 
Kaka kule Tanga ilibidi niwe na moyo wa Chuma la sivyo ningemsahau mama Ngina..........Binti akikuangalia macho yake yamelegea utadhani anakuita................

Kungu hiyo kaka. Ungejaribu tu usingerudi kwenu. Wanasema Tanga mapenzi ndipo yalipoanzia.
 
[video=youtube_share;us-gzTJir2I]http://youtu.be/us-gzTJir2I[/video]
 
Nasikia wanawake wakipemba wanakaa navyo mpaa kitandani, ukimbanjua sana ananza kupepea K yake...eti anapoza moto.
 
Kweli kabisa, feni halifukiziki kwa udi, lakini hapo udi kama kawa, sharti ukipepewa wasikia raha tu.

"Mpenzi nipepee, nna usingizi nataka kulala".

Mijitu ya bara itayajuwaje hayo, wengine hata nguo ni miaka 20 nyuma wacha hiyo.
"Mijitu"
 
nina wasiwasi mama anaweza kukosa visenti vya vipodozi.
Inabidi familia muweke mikakati Faza asirudi tena Tanga baada safari yake hii.

Ni kweli, kuna raha zake! Bt usisahau na kuibiwa kisayansijadi kunahusika, hujasikia kidume kilipelekwa bafuni kimebebwa mgongoni , bafuni kumeandaliwa kigoda na kisosi, kidume kikaketishwa kigodani, kisha kisosi kikatumika kuwekea kende (hizo parachichi mbili kisosini ndo zikaanza kuogeshwa)
mara katiwa ulimi wa sikio ! weee! Kesho yake si alipeleka hati ya banga!
Mchezo tupa kulee!
hehehe hapo kaka lazima utaacha hata risiti ulonunulia kaptula yako ulovaa. Balaa

Kaka kule Tanga ilibidi niwe na moyo wa Chuma la sivyo ningemsahau mama Ngina..........Binti akikuangalia macho yake yamelegea utadhani anakuita................

hehehe Kaka kuna na ile binti anajifanya ana aibu aibu kumbe anaitafuta paswedi yako akumalize lol
 
Hii nimekutana nayo MKWAJA huko Pangani TANGA mwanzoni mwa mwezi huu............................LOL

Aisee waijua mkwaja wewe? Nimevuruga hiyo Saadani national park yote kaka. Mlifanikiwa kwenda kwenye ile beach ya pangani kaka! Da ulivotaja Mkwaja umenikumbusha Miono, saadani na kule kwenye wale flamingi kiwanda cha chumvi.
 
kuna watu huwa hawapendi wanawake wa pwani wasifiwe, leo sijui wamelala!.........wait still downloading!
 
Mijanakike ya bara kwa kunuka kwapa na nanihii ndio yenyewe, wajifunze kutumia vitu kama hivi vitawasaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom