Mapenzi ya hivi ni kero sana

Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Mdau,kwanza haujafunguka vizuri maana hujasema anapenda kutetemekewa kwa mambo na vile vile umewahi kukaa naye na kumweleza hilo jambo? Kitu kingine ambacho kabla hujapewa ushauri ni vizuri ukiweka bayana tofauti ya umri kati yako na yeye coz that could be one of other reasons!
 
Nshamwambia sana hadi nimechoka, mambo tu ya hapa na pale akiongea kitu nikimwambia cijapenda ananuna hadi mi ndo nianze tena kubembeleza.....
 
Evelyne Salt huyu ni mume au mpenzi tu? kama ni mpenzi tu, kwanini ujipe pressure umeshamwambia hataki... wewe unatatizo gani, tua mzigo tafuta mpenzi anayekupenda sio huyo anayetaka umuogope.. anakuwa kama mtoto aliyekosa ziwa la mamake bana!! aaagrrr watu wanapata wapenzi wazuri wanaojali wao wanapeperusha ndege....inaudhi sana....
 
huyu ni fiance, huz to be mungu akipenda
 
Sasa unataka ushauri gani na wewe upo radhi akikosa mwenzako wewe ndio unaomba msamaha?
 
Ndo nshachoka sasa.... na si kuwa nipo radhi ni funika kombe tu, kujiepushia stress zisizo na maana ndo maana ninafanya hivo
 
Tusisubiri kuombwa msamaha tusamehe kwa waliotukosea,watajifunza kitu kupitia wewe na hivyo ndo twatakiwa tuwe
 
Back
Top Bottom