Mapenzi na Siri zake za ovyo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.

20231129_112130.jpg

Huyo bidada anasema kuwa hiyo ni normal kabisa, yani ni kawaida kwa Mwanamke kukutana kimwili na wanaume idadi hiyo au zaidi.

Huyo Mwanamke ameshaweka hiyo siri kwenye maisha yake na Mwanaume hajui, na unaweza kukuta jamaa kagharamika kwelikweli kutoa mahali kubwa n.k kumbe Mwanamke aliemuweka ndani ni Malaya aliekubuhu.

USHAURI
Wanaume tusisahua jukumu letu la kuchunguza wenza wetu kabla ya ndoa, maana matatizo mengi yanatokea kwenye ndoa kwasababu ya kupuuzia KUCHUNGUZANA.
 
Ni kwa malaya tu, tusisemee wanawake wote, bado wapo wanawake waaminifu kabisa 29yrs bado hamjui mwanaume, wapo kabisa, ni vile tu haujakutana nao, wapo wanawake ambao hata kusimama na mwanaume kwao Ni dhambi achilia kutongozwa, huyo aliyekonfesi kwakwe ndio nomo kulala na wanaume hamsini si kwa wanawake wote
 
Pia wapo wanawake waaminifu sana wenye hofu ya Mungu tunachoweka akilini ndicho kinachokukuta, mfano ukiwaz ipo siku utakutana na mwanamke mwaminifu basi itakua, ila ukiweka mawazo ya kuwa sitakuja kukutana na mwanamke mwamininfu itakua hivyo maishani mwako na utafurahi mahusiano, so mjaribu kuwaza mitazamo chanya
 
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.

View attachment 2828437

Huyo bidada anasema kuwa hiyo ni normal kabisa, yani ni kawaida kwa Mwanamke kukutana kimwili na wanaume idadi hiyo au zaidi.

Huyo Mwanamke ameshaweka hiyo siri kwenye maisha yake na Mwanaume hajui, na unaweza kukuta jamaa kagharamika kwelikweli kutoa mahali kubwa n.k kumbe Mwanamke aliemuweka ndani ni Malaya aliekubuhu.

USHAURI
Wanaume tusisahua jukumu letu la kuchunguza wenza wetu kabla ya ndoa, maana matatizo mengi yanatokea kwenye ndoa kwasababu ya kupuuzia KUCHUNGUZANA.
Na kasemea kabisa lakini kuwa mume wake hajui historia yake kuwa ameshalala na wanaume zaidi ya 50 kwahiyo hiyo ilikua kabla hajaingia kwenye ndoa na commitments, siajabu yupo kwenye ndoa na ametulia na ndiyo maana katoa confess ya namna hiyo, i still believe wapo wanawake wa kuoa na ni waaminifu
 
Mkuu naona unahangaika kutetea wanawake, oa at your own risk. Ila kusema sijui wapo waaminifu sijui sio wote unajidanganya. Kwenye huu ulimwengu wa smartphone na bodaboda vitoto vinaanza ngono vipo darasa la 5, vikija kufika form 4 vimekubuhu, akifikisha miaka 20 kashalala na watu wazima wa over 40 au 50. Huko makanisani kwenye kwaya ndo balaa. Kuna demu ni mpole muimba kwaya na mvaa vitenge, nilikuwa namuona mtu aliyetulia, siku moja akaniambia alipojua mapenzi akiwa sekondari alikuwa anapenda ngono sana mtu akimtongoza anamlala hata siku hiyohiyo na kashalala na wanaume kama 70 hivi, ila siku hizi kaamua kutulia, nikachoka. Uzuri hakunaga alama kwa aliyelala na wawili na aliyelala na kijiji. Na siku hizi Wana dawa zao mpaka za kurudisha bikra amini usiamini, ndo maana nikakwambia Oa at your own risk.
 
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.

View attachment 2828437

Huyo bidada anasema kuwa hiyo ni normal kabisa, yani ni kawaida kwa Mwanamke kukutana kimwili na wanaume idadi hiyo au zaidi.

Huyo Mwanamke ameshaweka hiyo siri kwenye maisha yake na Mwanaume hajui, na unaweza kukuta jamaa kagharamika kwelikweli kutoa mahali kubwa n.k kumbe Mwanamke aliemuweka ndani ni Malaya aliekubuhu.

USHAURI
Wanaume tusisahua jukumu letu la kuchunguza wenza wetu kabla ya ndoa, maana matatizo mengi yanatokea kwenye ndoa kwasababu ya kupuuzia KUCHUNGUZANA.

Unamchunguzaje mtu ambaye mmekutana chuoni ama kazini ama kanisani ?

Mtu kwao mbeya. Wewe kwenu Mbagala.

Shule kasoma Dodoma wewe umesoma Arusha.

Baba yake mwenyewe ama mama yake hawezi kumjua binti yake katembea na wangapi ama nani na nani. Sembuse wewe mnaekutana ana miaka 25 ndio uanze kumchunguza mtu aliyevunja ungo miaka 13 iliyopita
 
Ni kwa malaya tu, tusisemee wanawake wote, bado wapo wanawake waaminifu kabisa 29yrs bado hamjui mwanaume, wapo kabisa, ni vile tu haujakutana nao, wapo wanawake ambao hata kusimama na mwanaume kwao Ni dhambi achilia kutongozwa, huyo aliyekonfesi kwakwe ndio nomo kulala na wanaume hamsini si kwa wanawake wote

Acha kujidanganya.

Muulize Gynocologist yeyote atakueleza ukweli.

Hakuna mwanamke anaefika miaka 29 akiwa hamjui mwanaume.

Wapo Wanawake wanamjua Mungu wanaweza kujitunza sana. Ila kuna umri unafika uvumilivu unawashinda.

Nyege ni basic need. Kama tumbo kusikia njaa vile.

Mtu hawezi vumilia njaa muda mrefu. Ndio hivyo hawezi vumilia nyege kuanzia anavunja ungo ana miaka 12 mpaka kufikia 29 bado amekaza tu.

Wanawake wanaojitunza huwa wanamudu wakibahatika kuolewa mapema. Miaka 23 mpaka 25 awe ameshaolewa.. ila bila ya hivo..uvumilivu utamshinda tu
 
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii anonymous confession ya Mwanamke anaesema kuwa kaolewa akiwa na miaka 20's lakini kashakutana kimwili na wanaume zaidi ya 50.

View attachment 2828437

Huyo bidada anasema kuwa hiyo ni normal kabisa, yani ni kawaida kwa Mwanamke kukutana kimwili na wanaume idadi hiyo au zaidi.

Huyo Mwanamke ameshaweka hiyo siri kwenye maisha yake na Mwanaume hajui, na unaweza kukuta jamaa kagharamika kwelikweli kutoa mahali kubwa n.k kumbe Mwanamke aliemuweka ndani ni Malaya aliekubuhu.

USHAURI
Wanaume tusisahua jukumu letu la kuchunguza wenza wetu kabla ya ndoa, maana matatizo mengi yanatokea kwenye ndoa kwasababu ya kupuuzia KUCHUNGUZANA.
Akii duuhh!!! Hii kali
 
Acha kujidanganya.

Muulize Gynocologist yeyote atakueleza ukweli.

Hakuna mwanamke anaefika miaka 29 akiwa hamjui mwanaume.

Wapo Wanawake wanamjua Mungu wanaweza kujitunza sana. Ila kuna umri unafika uvumilivu unawashinda.

Nyege ni basic need. Kama tumbo kusikia njaa vile.

Mtu hawezi vumilia njaa muda mrefu. Ndio hivyo hawezi vumilia nyege kuanzia anavunja ungo ana miaka 12 mpaka kufikia 29 bado amekaza tu.

Wanawake wanaojitunza huwa wanamudu wakibahatika kuolewa mapema. Miaka 23 mpaka 25 awe ameshaolewa.. ila bila ya hivo..uvumilivu utamshinda tu
Kama haujakutana naye kaa kimya, msipende kugeneralize mambo wanawake waaminifu bado wapo tena wengi
 
Back
Top Bottom