IHANDA Member Jun 28, 2012 62 15 Jun 29, 2012 #1 Jamaa bila huruma kwa wivu wa mapenzi kamtoa uhai wife wake wa ndoa ni huko dodoma Attachments MAUAJI.jpg 331.4 KB · Views: 734
Jestina JF-Expert Member Jan 6, 2011 4,831 1,710 Jun 29, 2012 #3 mnh mie nimeogopa,ungeweka warning nisingefungua lol:eek2:
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Jun 29, 2012 #4 Asante kwa kunistua. Mods, msaidieni kuweka warning/viewer advise,plz! Jestina said: mnh mie nimeogopa,ungeweka warning nisingefungua lol:eek2: Click to expand...
Asante kwa kunistua. Mods, msaidieni kuweka warning/viewer advise,plz! Jestina said: mnh mie nimeogopa,ungeweka warning nisingefungua lol:eek2: Click to expand...
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Jun 29, 2012 #6 Cha! ondoeni hii kitu MoDs please!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Jun 29, 2012 #7 Mi ndio maana sina mpango wa kuoa...
happiness win JF-Expert Member Aug 30, 2011 2,461 1,384 Jun 29, 2012 #8 asigwa said: Mi ndio maana sina mpango wa kuoa... Click to expand... Usiogope kijana! Mapenzi ni matamu sana ukimpata anayeyajua na mwenye akili timamu. Huyo Mama anabahati mbaya alimpata kichaa wa mapenzi.
asigwa said: Mi ndio maana sina mpango wa kuoa... Click to expand... Usiogope kijana! Mapenzi ni matamu sana ukimpata anayeyajua na mwenye akili timamu. Huyo Mama anabahati mbaya alimpata kichaa wa mapenzi.
Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,211 42,074 Jun 29, 2012 #9 Ni hatari sana kuwa kwenye relation bila kupimwa akili