FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Ni kisa kilichoniacha mdomo wazi wenzangu ...hivi unaweza penda mpaka ukafikia hatua ya kuua ..??
katika hali ya kutatanisha mama mmoja inasadikika alimuua mmewe mwenye takribani miaka 42 na yeye after 1 month akaolewa na kijana wa miaka 30 wakati yeye alikuwa na miaka 35
Huyu mama ni jirani yangu tukio la kuolewa ndani ya mwezi baada ya kifo cha mmewe limenifanya niamini ni kweli alimuua mmewe
Nini siri ya penzi la hatari na lenye kutisha namna hiii??
FL