mapenzi: hisia au kuchagua

The Kop

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
209
92
nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....?
 
Swali lako halijakaa wazi...
Nadhani ni hisia ila unaweza kuchagua kuipotezea au kuiendekeza.
 
nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....?

Swali zuri sana.
Mi nadhani mapenzi ni hisia,ingawa kwa dunia ya sasa inazidi kushuka kama kigezo cha kuwa kwenye mapenzi.

Watu wanafuata kuchagua zaidi na hasa kigezo cha uchumi kinapokuja.
 
Ni hisia mkuu, na pia hutoka moyoni. Huwezi kuchagua mapenzi, maana hayo si maembe au machungwa!!! Na ukiforce kuchagua, baadaye utaishia nyumba ndogo
 
Back
Top Bottom