Mapenzi hayana Ushauri..

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,076
kitu kinacho itwa Mapenzi hakina ushauri..
Mapenzi ni hisia ya mtu ya ndani nahuongozwa na fikra za mtu binafsi,ukipatwa na tatizo
la mapenzi usipende kuomba ushauri wakati ushahamua maamuzi yako binafsi unakuwa unatakakujua
maamuz uliochukua kama uko sahihi au la! unakuwa hujiamini kwasababu huamini hisia na fikra zako
utagombana na watu ambao watakushauri tofauti na hisia zako zinavyokutuma au na danganya!?Mapenzi hayana ushauri yanaongozwa na HISIA.
 
inategemea manake nijuavyo mimi kila mtu anapoomba ushauri anataka kuthibitisha kama maazo yake yana apply au la na unaposhauri haushurutishi mshauriwa kubuy idea zako 100% bali unampa afasi ya kujifunza tu li anapooamua basi aamue kwa busara. jua kabisa binadam hawez kuish pasi binada mwingine na hakuna mtu anayeweza kuamua kila kitu kwa usahihi.
 
Kama kuna kitu huwa sikielewi hata kidogo ni mapenzi, unampenda unayetakiwa kutompenda, haumpendi unayetakiwa kumpenda.

Usaliti wa hisia tu!
 
Ni hisia zilizo ambatana na upofu. Tena hakuna upofu mbaya kama wa mapenzi. Ushauri nadhani ni swala muhimu sana kwenye mapenzi incase ukiitajihika cse unatoa mwanga wa unacho au usicho kiamini.
 
Kama kuna kitu huwa sikielewi hata kidogo ni mapenzi, unampenda unayetakiwa kutompenda, haumpendi unayetakiwa kumpenda.
Usaliti wa hisia tu!

Konnie mbona umenimix leo bandugu? Una maana gani unaposema ''unayetakiwa''....kwani kuna mtu anakuamrisha kufanya maumizi ya kupenda na kutokupenda?si ni ww binafsi na roho yako ama?
 
Ushauri muhimu lakini mhusika anatakiwa kupima mwenyewe kipi kinamfaa na sio kuchukua kila anachoshauriwa..
 
ndio maaanake,na wala hayana fomula useme unakokotoa kama unakokotoa log x base 10
 
Usisite kuomba ushauri saa nyingine unakuwa akili imefika kikomo cha kufikiri kutegemeana uzito wa tatizo bila hivyo unaweza ukafanya maamuzi ya ajabu sana na yenye madhara na kuharibu hadhi yako mbele ya jamii inayokuzunguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom