Mapenzi basi!

Yanausumbua na kutesa moyo wangu kila kukicha,NIMPENDAYE CMUONI, nasema mapenzi na mimi basi tena BASI!

Nina rafiki yangu alikimbiwa na lady kwa sababu alikuwa an smell sana. Sasa unakuta wanawake wakawa wanashindwa kumwambia hivyo wakawa wanasepa during dating period na mara chache wanapokutana kimwili mara moja au 2. Ila kuna mmoja alipommwaga akamwambia kwa simu kuwa you smell bad ndo maana alimuacha.

Sasa mkuu jiangalie unaweza ukawa na kasoro usiyoijua ndo maana unamwagwa. Pengine ni dhaifu kunako sita kwa sita huwezu jua..............

Jichunguze chukua hatua mkuu
 
Pole, lakini usikate tamaa, omba mungu atakusaidia utampata akupendae kwa dhati na uta enjoy maisha. Vuta subira na sala kwa wingi
 
Naona kweli weekend imechukua mkondo wake.....lol... Love songs kwenda mbele... I hope zitamfariji Bhavick...
It's not the end of the road for him definitely he will come across someone ambaye watapendana hapo ndipo atakapoona another side of LOVE
 
Na kuishi nako pia iwe basi. Manake kila siku naamini unakumbana na mikiki mikiki ya maisha
 
Nina rafiki yangu alikimbiwa na lady kwa sababu alikuwa an smell sana. Sasa unakuta wanawake wakawa wanashindwa kumwambia hivyo wakawa wanasepa during dating period na mara chache wanapokutana kimwili mara moja au 2. Ila kuna mmoja alipommwaga akamwambia kwa simu kuwa you smell bad ndo maana alimuacha.

Sasa mkuu jiangalie unaweza ukawa na kasoro usiyoijua ndo maana unamwagwa. Pengine ni dhaifu kunako sita kwa sita huwezu jua..............

Jichunguze chukua hatua mkuu
nilikuwa na huyu niliyempenda toka niko kidato cha pili yeye darasa la saba,mwaka 1998,mwaka jana,baada ya mimi kuamishwa kikazi matatizo yakaanza,nikaacha kazi,ili nije kuwa karibu yake lakini wapi!hivi ninavyoandika ana mwezi kwenye ndoa yake,kama nna tatizo tungekuwa pamoja kwa muda wa miaka yote hiyo?
 
.utarudi kwenye reli muda si mrefu wewe!!mapenzi hayasuswi ndugu,ni kama mtakuja vilage
 
nilikuwa na huyu niliyempenda toka niko kidato cha pili yeye darasa la saba,mwaka 1998,mwaka jana,baada ya mimi kuamishwa kikazi matatizo yakaanza,nikaacha kazi,ili nije kuwa karibu yake lakini wapi!hivi ninavyoandika ana mwezi kwenye ndoa yake,kama nna tatizo tungekuwa pamoja kwa muda wa miaka yote hiyo?

Hakuwa ubavu wako, subira mpendwa. Subiri wako na usichague chague sana
 
Back
Top Bottom