Mapenzi basi!

Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Yanausumbua na kutesa moyo wangu kila kukicha,NIMPENDAYE CMUONI, nasema mapenzi na mimi basi tena BASI!
 
Raha ya mapenzi we ndo upendwe, asilimia kubwa ya watu wapo na wapenzi wasio wapenda kwa dhati, unaempenda kwa dhati na ye kuna mtu anampenda kwa dhati pole sana
 
pole sana ndugu yangu ndo maisha yalivyo,mapenzi yanatesa kuliko kitu chochote unajikuta huwezi kufanya kitu yamenikuta hata mimi najua hali uliyonayo pole
 
Yanausumbua na kutesa moyo wangu kila kukicha,NIMPENDAYE CMUONI, nasema mapenzi na mimi basi tena BASI!

mmh pole sana yaonekana umekata tamaa na kuhis kuwa
huwezi kuendelea
animi leo nakwambia the one and only for you bado yupo its matter
of time tu na mtakutana na hapo
kinywa chako kitanena mazuri tu juu ya neno mapenzi....

pole sana jipe moyo kwan wakati umekaribia..
uonapo giza totoro basi
ujue dhahili kuwa asubuhi haipo mbaliiiiiiiiiiiii
 
Kuna aja ya watu kujua kwanini unaingia ktk mapenzi kabla hujajua sababu itakayokutoa ktk mapenzi.
 
mmh pole sana yaonekana umekata tamaa na kuhis kuwa
huwezi kuendelea
animi leo nakwambia the one and only for you bado yupo its matter
of time tu na mtakutana na hapo
kinywa chako kitanena mazuri tu juu ya neno mapenzi....

pole sana jipe moyo kwan wakati umekaribia..
uonapo giza totoro basi
ujue dhahili kuwa asubuhi haipo mbaliiiiiiiiiiiii

angalau umenipa hata mimi moyo
 
Hayo ndo yanaoitwa maloveeee ayana tafsiri unayempenda akupendi,akupendae umpendi,basi inakua burudani sana tu kama siyo mateso ya roho,ila jikaze ipo cku atakuja wa ukweli nawe pia utaona uyu ndo nliyokua namsubiri kwa mda wote.
 
Mpaka leo sielewi maana ya kupenda, kote nilikodhan nimependa niliangukia pua, kwa sasa hata msichana akinambia ananipenda namuona anaigiza tu.
 
mmh pole sana yaonekana umekata tamaa na kuhis kuwa
huwezi kuendelea
animi leo nakwambia the one and only for you bado yupo its matter
of time tu na mtakutana na hapo
kinywa chako kitanena mazuri tu juu ya neno mapenzi....

pole sana jipe moyo kwan wakati umekaribia..
uonapo giza totoro basi
ujue dhahili kuwa asubuhi haipo mbaliiiiiiiiiiiii
asante kwa kunitia moyo,lakini..........
 
Usiidhulumu nafsi yako, jipe nafasi yupo akupendae kwa dhati na atakuja kwa wakati ule Mungu amekupangia!
 
DONT worry in the future kutakuwa hamna mapenzi
download
 
Mpaka leo sielewi maana ya kupenda, kote nilikodhan nimependa niliangukia pua, kwa sasa hata msichana akinambia ananipenda namuona anaigiza tu.

Sometime wanawake wanawapenda wanaume chakaramu mkuu. Usidhani kupigiapigia simu ndiyo issue. Ishi nae kijeshi jeshi kidogo ndio huwa wanapendaga mara chachechache
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom