Mapema: Pugu high school

Mmasi

Senior Member
Oct 26, 2011
164
15
Jamani kwa aliyenaufahamu kuhusu pugu juu ya vigezo hivi naomba aniambie;
¤sehemu ilipo.mkoa,wilaya,kata,na mtaa
¤sare wanazovaa.
¤na lolote ambalo ungependa kunijulisha kuhusu shule hii.
Shukrani.!
 
Mmasi acha usanii, ila kwa kuwa umeleta mada okay.
Iko mkoa wa Dar;
Iko wilaya ya Ilala;
Ikio kata ya Pugu;
Iko mtaa wa Pugu;bu
Mashariki imepakana na Gongo la mboto mwisho wa lami
Kusini imepakana na Majohe
Kaskazini imepakana na Pugu Kajiungeni
Magharibi imepakana na kanisa la katoliki ambalo lilijengwa miaka ya 1868+ miaka hiyo inafuatana kwa karibu llile, la Bagamoyo
Ukifika pugu uliza kuna sehemu moja maarufu inaitwa Baghdad, hapo kuna vibaka kishenzi.
Ukifika Pugu nenda pond ambako wanafunzi hupata maji ya kuoga yana kichocho cha kutosha mmasi.
Vipi niendeleee?
 
Fungus je?

Hazina Yako ilipo ndio na Moyo wako ulipo.
Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Fofade,
Inaonekana wewe na Mmasi mama mmoja baba mmoja tumbo mbalimbali,
maana Mmasi kajiunga JF siku mbili tu kabla yako hii inaashiria mnashabihiana.

Fungus wapo tena wa kufa mtu, full ukurutu mzee.
 
toilet zinaitwa 'battle' almaarufu beto kwa maana ya kwamba ni uwanja wa vita ukiingia unaanza kuvua nguo zako ukiwa mbali mana ukienda nazo ukitoka zinakuwa na harusu ya toilet.pia pugu kuoga ni nje tu so lazima usubiri giza liingie ndio uoge..ni hayo tu mkuu
 
[ karibu PUGU BOYS HIGH SCHOOL BROTHER,puguBOYS ipo MKOA WA DSM, wilaya ya ILALA,,!!!! au wengi wanapenda KUSEMA NJE KIDOGO YA DSM! pugu NOW NI SHULE YA BWENI TU, INA KIDATO CHA 1-6 kwa 5,6 PUGU INA MICHEPUO ya EGM, PCM na PCB (wengi wanasema NI SPECIL SCHOOL KWA EGM tanzania), PUGU INA MABWENI 5 , AZIMIO,MAENDELEO,UJAMAA,MAPINDUZI,na UMOJA!!! sare za SHULE, PUGU BOYS WANAVAA MASHATI MEUPE na SURUALI YA BLUE, ni SURUALI like za AZANIA au kama ZA ASRARI UHAMIAJI!!, shule INA MAZINGIRA MAZURI YA KUSOMA, maana kwanza IPO DSM, ambapo ndio SOURCE YA RESOURCES, UMEME upo 24 hrs LABDA TANESCO wawe KAZIN, pia PUGU MWANAFUNZ HAFANYISHWI KAZ, hakuna KULIMA, HAKUNA KUCHOTA MAJI, sana sana LABDA KUFAGIA DARASA 2!!!!!!! pugu HAKUNA ATENDANCE so MWANAFUNZ ANATOKA NA KUINGIA MUDA WOWOTE AUPENDAO, siku ya IJUMAAA ni kama SHULE IMEFUNGWA wanaitwa ***DROPING DAY** wanafunz huenda makwao au kusalimia NDUGU na WANAREJEA JUMA2 USKU!!!! tatizo KUBWA PUGU NI MAJI, sio ya KUNYWA 2 BALI ata KUOGA,kuna SEHE WANAITA pond, BT MAJI YAKE SIO SALAMA, waweza pata PE **PUMBU EROSION**.bt al in all KAMA UMECHAGULIWA PUGU HAKIKA hongera ZAKO, karibu SANA PUGU!!!!! me BAMBUUUUUUUUCHA egm PUGU 2006-8, UJAMAA 1 domitory
 
Hiyo shule du! Mbona haifanani na sifa zake? Jamaa bora ausake uhamisho tu!

Pugu hapana tofauti na minaki,kama ni mtoto wa mama lazma ulilie kuhama week ya kwanza.
 
Back
Top Bottom