Mapato Yanga yalikuwa Bilioni 17.8, matumizi Bilioni 17.3 chenji ni Milioni 500, Mmh!

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Haya mambo yangekuwa Simba kelele zingekuwa za kutosha.

Endeleeni tu
===

1687768688895.png

Rais wa Yanga Eng. Hersi Said wakati anahutubia kwenye Mkutano Mkuu amesema, kwa msimu wa 2022|23 klabu ya Yanga imefanikiwa kutengeneza zaidi ya Tsh. 7 bilioni. Fedha hizo zinatokana na wadhamini mbalimbali wa klabu hiyo.

Eng. Hersi pia amesema, Yanga imeingiza zaidi ya Tsh. 3 bilioni kupitia mafanikio yaliyotokana na ushiriki wa mashindano mbalimbali na mapato yanayotokana na viingilio vya mechi.
 
ndio hivi vilabu vije kumiliki uwanja binafsi labda uwekezaji ufanyike na DPword
walipe kidogokidogo
 
Back
Top Bottom