Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,189
- 95,216
Mwaka huu Tanganyika inaazimisha miaka 60 tangu kupata uhuru wake, wapo wanaoawaaminisha wajinga wenzao wasiojuwa historia kwamba ni siku ya Uhuru wa Tanzania bara.
Ni kwamba Tanzania haijawahi kutawaliwa.
Back to the topic Freeman Mbowe ambaye amezaliwa mwaka 1961 mwaka wa Uhuru na Baba wa Taifa kuwa ndio Baba yake wa ubatizo maono ya kiroho yanasema hivi.
Siku ya maazimisho ya Tanganyika kutimiza miaka 60 ya kuwa huru yani Freedom, nawahakikishia ndugu Freeman Mbowe atakuwa free na atakuwepo uwanja wa Uhuru/ uwanja wa Taifa kwenye kuazimisha na kusherehekea miaka 60 ya Uhuru na Ndugu Freeman Mbowe pia ana miaka 60 na alizaliwa mwaka 1961 mwaka ambao Tanganyika ilipata Uhuru wake.
Hili halihitaji ramli wala nini haya ni maono kutoka kwa Mungu, mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie.
Save this thread for future generations, JF be the first to know.
Mohamed Said, paskal Mayalla, Mzee Mwanakijiji, EMT, Pdidy , jmushi1, Nguruvi3, BAK, Ngongo, Zitto, gfsonwin, Mshana Jr