Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,830
Pamoja na changamoto zinazoikabili tasnia ya habari nchini bado watanzania wanapaswa kuheshimu na kuthamini huduma ambayo wote tunajua mazingira yalivyo si tu Tanzania lakini bara zima la Afrika linapokuja suala la Uhuru wa vyombo vya habari. Kitendo kilichoripotiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa, baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha ambao kwangu nawaona ni "wakazi wahuni" kujaribu kuwazuia waandishi kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kufanya kazi yao kwa kigezo kuwa wanatoa taarifa za kupotosha hazina msingi na walipaswa kutafuta njia nyingine ya kuonyesha kwao kutoridhishwa na utendaji wa shirika hilo. Nachelewa kusema kuwa tabia iliyoanzishwa na baadhi ya wafuasi wa CHADEMA kuwaona kila wasio waunga mkono ni wasaliti haifai na wala haileti picha ya uvumilivu wa kisiasi ambao tungetarajia kuuona ukihubiriwa kwa vitendo na yoyote anajipambanisha na chama au jumuiya makini.
NB: Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mwanahabari, wala hakuna mahusiano na itikadi au maslahi ya shirika lolote.
nina zaidi ya miezi nane sija wahi kutazama TBC kwa mapenzi yangu labda kama nimepita sehemu napata chakula au kinywaji nikute wameweka TBC...mara nyingi hupigiwa simu watu wakiataka kujua ukweli juu ya taarifa mliyoirushana kama ndivyo ilivyokuwa au ilivyo..Afadhali wewe umejitaja mwenyewe, Kama huridhiki na TBC kwanini unaendelea kutazama?
View attachment 51156
Huyu ni nani?
Simtishii maisha, ila asije akajiloga akakatiza mitaa yetu, huwezi kutuita wahuni halafu tukuache hivi hivi?
kama vipi karipoti polisi umetishiwa maisha unless kama wewe unajiamini uchune
Narudia kwa mara elfu na mia..."baadhi ya wananchi wahuni" ambao walijaribu kuwazuia waandishi wa habari kutoka TBC kufanya kazi zao, sasa nyie mnaojadili mie nimetumwa kuitetea TBC na CCM hilo la kwenu, kama mtu ameumia kwa kuwa nimetumia neno "UHUNI" basi aende akajipozee na CHANG'AA au kilevi kinachompendeza, lazima mjifunza uvumilivu pumbafu zenu kabisa...matusi matusi nyie mnayajua au mnasikia tu.
Mimi naheshimu sana maoni yenu hasa kwa kuwa wengi mmeguswa kiitikadi, na nitawajibu kulingana na staili utakayoitumia kujenga hoja yako, ukija kishabiki unalambwa kishabiki vile vile. Kwanza wengi wenu waoga mnazungumza nyuma ya pazia, nawaona wengine wameamua kuingia uanachama kwa ajili ya kushabikia upuuzi wa wanaodhani siasa ni chuki au matusi. Mbona sijawahi kusikia viongozi wenu wakitamka matusi wanapojenga hoja nyie mmetoa wapi staili hiyo?
Kumbe anaetuita wahuni ndiyo huyu kudadeki....View attachment 51156
Huyu ni nani?
Simtishii maisha, ila asije akajiloga akakatiza mitaa yetu, huwezi kutuita wahuni halafu tukuache hivi hivi?
kama vipi karipoti polisi umetishiwa maisha unless kama wewe unajiamini uchune
Huwa unafika Arusha? kama ndiyo mitaa gani? chode chode kesho usikose pale NMC kama kweli wewe kidume nyagau wewe.....Now u know me nakusubiri kwa hamu siku utakayonitafuta na ukitaka nitakupa namba ya nyumba niliko. Ndo mnavyowatishia watu na siasa zenu za kizamani...unabana pua kirahisi kirahisi eti nisije kulogwa pumba kabisa wee!!
Huwa unafika Arusha? kama ndiyo mitaa gani? chode chode kesho usikose pale NMC kama kweli wewe kidume nyagau wewe.....
ID yangu ya nini? wewe njoo kesho NMC utaniona.....Nitafika popote ndani ya Tanzania na hakuna wa kunibabaisha, yaani umekaa badala ya kujenga hoja unatishia maisha yangu...u r so yesterday brother, sitaihukumu CDM kwasababu najua si wote wanaakili za aina yako, sina hakika kama una kadi au unatambulika uanachama wako. Sasa fanya hivi, weka ID yako hapa afu tuone mi na wewe nani ataishi kama digidigi.
Pamoja na changamoto zinazoikabili tasnia ya habari nchini bado watanzania wanapaswa kuheshimu na kuthamini huduma ambayo wote tunajua mazingira yalivyo si tu Tanzania lakini bara zima la Afrika linapokuja suala la Uhuru wa vyombo vya habari. Kitendo kilichoripotiwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa, baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha ambao kwangu nawaona ni "wakazi wahuni" kujaribu kuwazuia waandishi kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kufanya kazi yao kwa kigezo kuwa wanatoa taarifa za kupotosha hazina msingi na walipaswa kutafuta njia nyingine ya kuonyesha kwao kutoridhishwa na utendaji wa shirika hilo. Nachelewa kusema kuwa tabia iliyoanzishwa na baadhi ya wafuasi wa CHADEMA kuwaona kila wasio waunga mkono ni wasaliti haifai na wala haileti picha ya uvumilivu wa kisiasi ambao tungetarajia kuuona ukihubiriwa kwa vitendo na yoyote anajipambanisha na chama au jumuiya makini.
NB: Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mwanahabari, wala hakuna mahusiano na itikadi au maslahi ya shirika lolote.
Vipi umeshiwa? jibu hoja acha ujinga?Bange mbaya sana..akili zote zinahamia kwenye mdomo..!!

Asiwape taabu huyu Dotto Athmani, kwanza ni beneficiaries wa TBC1, ndio yule Muandaaji wa kipindi cha vijana pia amekwisha wahi kuwa kiongozi wa CCM pia hat Marehemu Baba yake pia amekuwa kiongozi wa CCM.
Bilashaka hana tatizo na TBC kufanya kazi kwa mlengo unaochukiwa na hao wana Arusha. Kabla ya ku post ilipaswa kwanza ajiulize kwanini sio Chanel Ten au ITV na ni TBC?
Soma alama za nyakati DOtto, bilashaka ni miongoni mwa wafanyakazi wa TBC mlio furahishwa na uamuzi wa kuvunjwa kwa mkataba wa Thido Mhando ua siyo eh! kisa mchakaoto majimboni :heh:.Karibu Dotto
Wewe una hamu na nini?Naona leo una hamu ya ban sana..