Maoni ya kiongozi wa juu wa CCM Zanzibar kuh: Katiba mpya !!

Kati ya watu milioni 1.2 ,who the hell is he?
At any rate he is insignificant, and the buck doesn't stop with him!

"what 1.2 million people u r talking abaout? Zanzibaris??
well, he might be nothing to you, but he is something to us, 1.2m Zanzibaris. so arrogant of U!"
 
"kwa nini ujisikie aibu kwa waZanzibari kujifaharisha na nchi yao!? je huwa waona aibu piya kuona waKenya wanajifaharisha na nchi yao? ni ukweli usiopingika sisi huku wala hatujifaharishi na uTanzania, hii haimaanishi kuwa nawachukia waTanganyika laa! nawapenda sana! ni ndugu/jamaa na marafiki zangu, kama walivyo waKenya pia. Ila huku Zanzibar tokea 'day one' ya huu wenye kuitwa muungano, hatukuwa tayari kupoteza nchi yetu katika ramani ya dunia, (iliwe na tanganyika). nyinyi waTanganyika wengi wenu munaona hivi vilio vimeanza leo, laa vipo tokea 'day one' ya wenye kuitwa muungano. historia yathibitisha hayo. Ela sasa wakati unfika wa kuachiliwa twende kwa amani, na udugu/ujamaa na urafiki wetu wa kijamii utaendelea kuwepo tu, hata kama wengine hawapendi hili, wao wanaona kujirejeshea sisi jamhuri yetu kama uhasama. Uzalendo mtamu bana! namshukuru Allah kunijaaliya kuwa mwana wa Zanzibar na namuomba anijaalie niishuhudie Zanzibar yetu pale itakapokuwa DOLA KAMILI pale ambapo ...

1. Rais wa Zanzibar atakapotambulika kimataifa

2. Nitakapokuwa na urai/passport yangu ya Zanzibar

3. Nitakapoiona sarafu na benki kuu ya Zanzibar

4. Nitakapokishuhudia kiti cha Znz kinarudi UN
!
niliyasema zamani maoni yangu haya !! Je ndoto yangu yakaribia kutimia ?? "nchi yetu zanzibari, karibuni twawambia. ni visiwa vya amani, Pemba na unguja pia. mzunguko wa bahari, na fukwe za kuvutia. zimepambika vizuri, twaieleza dunia"
 
Wazanzibar kataeni vitambulisho vya taifa kama kweli nyie hamupendi muungano, sio mnadai tu mkataba huku Seif anakuwa mtu wa kwanza kuchukua kitambulisho cha muungano kutoka NIDA. Tumeshawashitukia kuna kitu mna kitaka hapa, yes ardhi kubwa ya Tanganyika, Idadi kubwa ya watu wa Tanganyika ambao mtu kama Bakhressa anaweza kupata soko kubwa kwa bidhaa zake licha ya kwamba yeye Mzanzibar na Geographical location ya Tanganyika inayopaka na nchi nane ndio maana mnataka huo mkataba ili mwendelee kubaki na kufaidi hayo mambo, huku mkiitaka Zanzibar yenu iliyohuru. Tumeshawashitukia muda mrefu kuwa ninyi ni watu wa changu ni changu na chako ni changu. Tuache Tanganyika tupumue, hatutaki wala hatufikirii kuwa na mkataba wowote na ninyi, if you decided to go, go for real brothers, msifikirie mikataba.
Kwanza tujenge bandari ya Bagamoyo ndio muone kibandari cha Zanzibar kitavyobaki kuwa kibandari cha Maboti na majahazi yenu.
 
Changamoto za Tanganyika km zifuatazo/
Udini
Ukabila
Ukanda
Mfumo Kristo
MoU
Mahakama ya Qadhi
OIC
Kupumzika Ijumaa
Mgawanyo sawa wa madaraka kati waislam/wakiristo
Ugaidi
Rasilimali
Ardhi
Mkuu mngeanza na haya kwanza!!!
Zanzibar hamuiwezi kashindwa baba yenu wa Taifa mtaiweza nyie kaa mavi!!!!
ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA BAADAE!!!!
 
bac kama ndo hivyo c wazanzibar mjitenge mazima mnangangania nini huku Tanganyika??
 
Hawa watu wa ajabu sana, sijui nani kawasomesha wote elimu hiyo ya kuvunja muungano utadhani kasuku. Muungano tunaotaka sisi ni kuendelea kuwa na taifa moja kama hawataki siwaseme tu sio kutuletea hiyo ngojera yao ya muungano wa mkataba utadhani taarabu.
Muungano kama hawataki wajue watapoteza haki ya uraia wa bara. Tunajua wazanzibari wanaofaidika na fulsa za kiuchumi bara ndio wachochezi wakubwa wa kuvunja taifa la tanzania hivyo muungano utakapovunjika wajue wabara hatutakua na huruma nao.
 
"kwa nini ujisikie aibu kwa waZanzibari kujifaharisha na nchi yao!? je huwa waona aibu piya kuona waKenya wanajifaharisha na nchi yao? ni ukweli usiopingika sisi huku wala hatujifaharishi na uTanzania, hii haimaanishi kuwa nawachukia waTanganyika laa! nawapenda sana! ni ndugu/jamaa na marafiki zangu, kama walivyo waKenya pia. Ila huku Zanzibar tokea 'day one' ya huu wenye kuitwa muungano, hatukuwa tayari kupoteza nchi yetu katika ramani ya dunia, (iliwe na tanganyika). nyinyi waTanganyika wengi wenu munaona hivi vilio vimeanza leo, laa vipo tokea 'day one' ya wenye kuitwa muungano. historia yathibitisha hayo. Ela sasa wakati unfika wa kuachiliwa twende kwa amani, na udugu/ujamaa na urafiki wetu wa kijamii utaendelea kuwepo tu, hata kama wengine hawapendi hili, wao wanaona kujirejeshea sisi jamhuri yetu kama uhasama. Uzalendo mtamu bana! namshukuru Allah kunijaaliya kuwa mwana wa Zanzibar na namuomba anijaalie niishuhudie Zanzibar yetu pale itakapokuwa DOLA KAMILI pale ambapo ...

1. Rais wa Zanzibar atakapotambulika kimataifa

2. Nitakapokuwa na urai/passport yangu ya Zanzibar

3. Nitakapoiona sarafu na benki kuu ya Zanzibar

4. Nitakapokishuhudia kiti cha Znz kinarudi UN
!
Usipate taaba sisi watanganyika hakika tanzania ndio nchi yetu, ni jina tu lilibadilika. Zanzibar ni ndogo sana kama shikio tu na haikubadili sura ya ramani ya tanganyika baada ya muungano ndio maana watanganyika tunawashangaa nyie mnavyohangaika kuona kunakua na serikali ya tanganyika wakati sisi hatuoni tofauti. Kama mnataka kujitoa kwenye muungano sisi tunaweza kuendelea kuita nchi yetu tanzania au tanganyika hiyo ni hiari yetu.
 
"je kama ni Mh Mansou Yussuf Himid?"
Mbona dessign ya watu kimbelembele na taifa la zenj ndio walewale waliotimuliwa 1964? Lakini nawapongeza kwa jinsi mlivyowateka fikra kina wenzangu. Kila la kheri sisi watanganyika tumeshawachoka na kelele sizokwisha za kero ya muungano.
 
Hawa watu wa ajabu sana, sijui nani kawasomesha wote elimu hiyo ya kuvunja muungano utadhani kasuku. Muungano tunaotaka sisi ni kuendelea kuwa na taifa moja kama hawataki siwaseme tu sio kutuletea hiyo ngojera yao ya muungano wa mkataba utadhani taarabu.
Muungano kama hawataki wajue watapoteza haki ya uraia wa bara. Tunajua wazanzibari wanaofaidika na fulsa za kiuchumi bara ndio wachochezi wakubwa wa kuvunja taifa la tanzania hivyo muungano utakapovunjika wajue wabara hatutakua na huruma nao.
"yaonesha dhahiri roho mbaya, uchoyo na uhasidi ulionao. wale wachina na wengineo waliojazana kariakoo mmeungana nao? hawana soko kubwa kwao wale hata wakaamua kuja kuwekeza Tanganyika? yaonesha vipi akili zako finyu zinavyofanya kazi. muungano tutavunja na tutaendelea kuwekeza huko kwenu, kuna kitu kinaitwa utandawazi na soko huria. kwa taarifa tu si Tanganyika tu ambapo wazanzibari wamewekeza, tupo karibu dunia nzima, na hatujaungana nao hao wengine"
 
Kama umemsikia prof shivji leo; taifa halivunjiki bila kwanza ya kuwepo chuki. Nyie mnaolilia kujitenga kwa sababu za kulazimisha bila shaka ndio mliojaa roho mbaya na chuki. Ikitokea mungu apishilie mbali basi mjue watanganyika pia watajawa na chuki kwa wazenj. Pia ujue hao wachina hawajawahi kua na haki za uraia tanganyika. Wazenj wana ardhi na mali kila kona tanganyika bila shaka hawatakaa kimya ila kuona mnakua wageni sana tanganyika.
 
Wazanzibar kataeni vitambulisho vya taifa kama kweli nyie hamupendi muungano, sio mnadai tu mkataba huku Seif anakuwa mtu wa kwanza kuchukua kitambulisho cha muungano kutoka NIDA. Tumeshawashitukia kuna kitu mna kitaka hapa, yes ardhi kubwa ya Tanganyika, Idadi kubwa ya watu wa Tanganyika ambao mtu kama Bakhressa anaweza kupata soko kubwa kwa bidhaa zake licha ya kwamba yeye Mzanzibar na Geographical location ya Tanganyika inayopaka na nchi nane ndio maana mnataka huo mkataba ili mwendelee kubaki na kufaidi hayo mambo, huku mkiitaka Zanzibar yenu iliyohuru. Tumeshawashitukia muda mrefu kuwa ninyi ni watu wa changu ni changu na chako ni changu. Tuache Tanganyika tupumue, hatutaki wala hatufikirii kuwa na mkataba wowote na ninyi, if you decided to go, go for real brothers, msifikirie mikataba.
Kwanza tujenge bandari ya Bagamoyo ndio muone kibandari cha Zanzibar kitavyobaki kuwa kibandari cha Maboti na majahazi yenu.

Wewe ndie mtanganganyika wa kwanza kusema muachiwe mupumue,angalia wasije kukusikia wenzako.
 
Kinacho nipa faraja kwenye huu mtandao ni kuwa wengi wa watanganyika tayari wameanza kujinasibu kwa utanganyika wao,enzi za mzee kifimbo ilikuwa ni uhaini.
 
Back
Top Bottom