Maoni ya Katoliki kuhusu Mkataba siyo siasa, ni wajibu wa kiuchumi

robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
740
1,214
Kwanza lazima tuelewe kwamba Mkataba siyo sera ya kisiasa ya cahama chochote. NI suala la kiuchumi. Hivyo kuujadili siyo siasa, ni mjadala wa kiuchumi.

Kama ni uchumi nani asiyefahamu kwamba Katoliki ni moja ya madhehebu yanayotoa mchango mkubwa kwenye sekta za kiuchumi, Afya na Elimu? Wanaisaidia serikali kutoa huduma hizo. Sasa kama serikali inakubali mchango wao wa maendeleo, kwa nini wasitoe maoni yao kwa utendaji mbovu wa serikali?

Kinachosikitisha kuna dini na madhehebu wao hawana lengo lolote zaidi ya kuwapeleka watu Mbinguni, leo hii nao wanaisema Katoliki iache kuingilia mambo ya siasa. Siasa ipi? Kama dini yako au dhehebu lako halina mchango wa kiuchumi kwa serikali acha wahusika waseme maoni yao! FINITO!
 
Yule padre akihojiwa na dw alidai Wana mizizi mirefu,kwamba wakatoliki wote hawataki mkataba,wakati pascal mayala,mkatoliki asiyekosa Misa,hakumbuki lini aliulizwa kanisani kuhusu mkataba,kusoma waraka wa TEC katikati ya Ibada j2 ni kuchanganya dini na siasa,wakumbushe,mama kasema hakuna mwenye ubavu wa kuligawa taifa
 
Huelewi hata Kiswahili.

Waraka ulisema kuwa kwa taarifa ambazo TEC inazo, kwa kupitia taasisi zake, ni kwamba wananchi wengi hawataki mkataba wa bandari. Unaelewa utofauti kati ya wananchi wengi na wananchi wote?
 
Kwanza lazima tuelewe kwamba Mkataba siyo sera ya kisiasa ya cahama chochote. NI suala la kiuchumi. Hivyo kuujadili siyo siasa, ni mjadala wa kiuchumi.

Kama ni uchumi nani asiyefahamu kwamba Katoliki ni moja ya madhehebu yanayotoa mchango mkubwa kwenye sekta za kiuchumi, Afya na Elimu? Wanaisaidia serikali kutoa huduma hizo. Sasa kama serikali inakubali mchango wao wa maendeleo, kwa nini wasitoe maoni yao kwa utendaji mbovu wa serikali?

Kinachosikitisha kuna dini na madhehebu wao hawana lengo lolote zaidi ya kuwapeleka watu Mbinguni, leo hii nao wanaisema Katoliki iache kuingilia mambo ya siasa. Siasa ipi? Kama dini yako au dhehebu lako halina mchango wa kiuchumi kwa serikali acha wahusika waseme maoni yao! FINITO!
Asante
P
 
Katoliki wameyumba

Yesu alisema: Ya kaisari mwachie Kaisari
Wewe usiingize umbumbumbu wako kwenye mambo ya imani usiyoijua, na wala usilitumie neno la Mungu katika kutimiza dhamira yako mbaya, unajitengenezea laana maishani mwako na kizazi chako.

Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu, na mpeni Kaizar yaliyo ya kaizari. Yaliyo ya Mungu, ni fungu la 10 la mapato yako. Na yaliyo ya Kaizari ni kodi zilizopangwa kwa kadiri ya sheria za nchi. Sasa hayo yana uhusiano gani na mkataba wa wa kitumwa wa DP?
 
Huelewi hata Kiswahili.

Waraka ulisema kuwa kwa taarifa ambazo TEC inazo, kwa kupitia taasisi zake, ni kwamba wananchi wengi hawataki mkataba wa bandari. Unaelewa utofauti kati ya wananchi wengi na wananchi wote?
Alifanya kura ya maoni!?
 
Wewe usiingize umbumbumbu wako kwenye mambo ya imani usiyoijua, na wala usilitumie neno la Mungu katika kutimiza dhamira yako mbaya, unajitengenezea laana maishani mwako na kizazi chako.

Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu, na mpeni Kaizar yaliyo ya kaizari. Yaliyo ya Mungu, ni fungu la 10 la mapato yako. Na yaliyo ya Kaizari ni kodi zilizopangwa kwa kadiri ya sheria za nchi. Sasa hayo yana uhusiano gani na mkataba wa wa kitumwa wa DP?
Kaisari ni serikali kwa ujumla na shughuli zote za kiserikali

Katoliki wameingia chaka. Wapi uliona Yesu anadeal na mambo ya utawala au kuishauri serikali

Walichofanya Katoliki ni kosa kubwa sana wamelinajisi kanisa.
 
Back
Top Bottom