Maoni ya John Mnyika juu ya Kuvunjwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini

Ndugu yangu Mnyika,chunga sana na twakuombea kwa mwenyezi Mungu usije uka ingia kwenye mkenge wa rushwa sababu Ccm ndio silaa yao ya mwisho kuwategeni,kueni makini sana viongozi wetu.chunga heshima yako ulie itengeneza muda mwingi.
 
Siku zote umekuwa makini ktk utendaji wako JJ Mnyika, na huo ndo Uzalendo kwenye nchi yako
 
Back
Top Bottom