Guys
kutokana na ugumu wa maisha nimeombwa na binti wa kama miaka 20 kazi yoyote ile kwenye ofisi yoyote ile.
So naomba msaada wenu. Naomba utani usiwepo ni very serious.
Okey mama, nimekupata elimu ni form four amesoma ana kozi kozi za computers . Ok ntampa hayo maelekezo.
kutokana na kwamba anakozi za computer so usecretary ungemfaa zaidi ila yeye anasisitiza kazi yoyote maana hata hela ya matumizi hana.Lakini unaposema kazi yoyote ile ya ofisini inakuwa vigumu kidogo huyo mtu kuipata! Inabidi u-specify hata section zipi ambazo unaona ata-fit.
__________________
Ujumbe huu sio kwa huyo anayetafuta kazi ya ofisini, maana yeye tayari na interest na kazi yeyote ya ofisini.
Ujumbe huu ni kwa mtu anayetaka kazi ya usaidizi nyumbani.
Ninayo kazi elfu 45,000 kwa mwezi,kulala bure,chakula cha mchana bure. aje na mashuka tu.Sehemu ya kazi-Makete. Aina ya kazi ni mhudumu. Ili mradi anajua kiswahili na ajue kupika vitu vya kawaida kama wali,maandazi,chapati,birian,pilau etc. Ujuzi sio muhimu. Awe amemaliza standard 7 au zaidi. Awe na marefa 2 .
Okey mama, nimekupata elimu ni form four amesoma ana kozi kozi za computers . Ok ntampa hayo maelekezo.
.
- Likizo ya siku 28 itatolewa mara moja kwa mwaka.
- Ruhusa panapokuwa na dharura kama ugonjwa au msiba pale Baba na/au Mama watakapokuwepo nyumbani na siku zitakatwa kwenye likizo.
Guys
kutokana na ugumu wa maisha nimeombwa na binti wa kama miaka 20 kazi yoyote ile kwenye ofisi yoyote ile...
Anatafutwa msaidizi wa nyumbani.
...Ujumbe huu sio kwa huyo anayetafuta kazi ya ofisini, maana yeye tayari na interest na kazi yeyote ya ofisini.
Ujumbe huu ni kwa mtu anayetaka kazi ya usaidizi nyumbani.
- Awe mwaminifu na awe mtu wa kujituma na aweze kuchukulia nyumba na familia kama yake (Kuchukua nafasi ya baba na/au mama kwani muda mrefu hawapo nyumbani). -
...binafsi roho imeniuma sana mama hapo ulipobainisha compassionate leave, na sick leaves zitakatwa kwenye likizo ya mwaka. Anyway, kila nyumba ina taratibu zake, ila labda pia kina mama muwe wawazi kuwafahamisha (house girls/boys) masaa yao kazi kwa wiki, na siku za mapumziko ili kuboresha productivity.
Ninayo kazi elfu 45,000 kwa mwezi,kulala bure,chakula cha mchana bure. aje na mashuka tu.Sehemu ya kazi-Makete. Aina ya kazi ni mhudumu. Ili mradi anajua kiswahili na ajue kupika vitu vya kawaida kama wali,maandazi,chapati,birian,pilau etc. Ujuzi sio muhimu. Awe amemaliza standard 7 au zaidi. Awe na marefa 2 .
Ninayo kazi elfu 45,000 kwa mwezi,kulala bure,chakula cha mchana bure. aje na mashuka tu.Sehemu ya kazi-Makete. Aina ya kazi ni mhudumu. Ili mradi anajua kiswahili na ajue kupika vitu vya kawaida kama wali,maandazi,chapati,birian,pilau etc. Ujuzi sio muhimu. Awe amemaliza standard 7 au zaidi. Awe na marefa 2 .
Saa hizi niko huku Makete na nina mtu mwenye sifa hizo,je Makete kitongoji gani ili nimlete mkuu?