Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Ok mkuu nimekupata....sorry kwa kukwambia ''you are not serious''....nimeona feedback yako....hii hapa!Next Level nina imani nilikupa feed back na hata kama hukuipata angalia kwenye ile thread niliandika kuwa nimempata na kuwashukuru wote.Niwie radhi usinitumbukize huko unakonisukumia.Na kama kweli hukupata huo ujumbe niwie radhi mkuu.
Pia nawaomba nilio wajibu mnitetee kwa Next Level ili anitoe huko anakonipeleka.
Lakini mkuu PM yangu hukujibu kabisaaaa! Lile lilikuwa dili bomba kabisa....nilikuwa nakuletea kijana ambaye ni multipurpose!Wadau nawashukuru wote waliojitokeza. Nimewapata watu 2.
Nimewalipa zaidi ya tulizotangaza kwa sababu wameonyesha utashi wa kazi na la ajabu mmoja wao ni Accountant haswa na ANA KITAMBI-aaaahaaaaaa!
La kusikitisha waliokuwa wanaponda hapa huku wananitumia PM,waswahili viboko kweli kweli. Ila nawashukuru ma Professional Accountant na wenye ujuzi walionielimisha.
Asante Belo,Lole,Bill,The farmer na wengine wote.Tutaendelea kumsaidia Mh.JK kuongeza ajira-hivyo hivyo kwa ugumu,tutagawana kilichopo.