Manyimbo ya Kikenya, Pumba tupu!

Mleta mada bila shaka Upo allergic na miziki mizuri.

ngoma iko poa kwa maana ya beat,video na mshahiri kwenda sambamba na beat japo hayaeleweki.

tatizo ni lugha,maana jamaa kaimba kwa lugha ya kienyeji ya kabila lao sambamba na kiswahili kibovu cha kikenya.
 
We nae utakuwa na shida

Ziko ngoma kibao na Kenya ambazo ni kali na zikipigwa mtu hutaki hata ngoma iishe
Kama Issue ni huo wimbo mbona hata sehemu nyingine pia nyimbo mbaya zipo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom