Manyara-ak-47 ya diwani chadema

Don Alaba

Senior Member
Nov 3, 2010
167
18
Kitu kikikutwa kwako au shambani ndo kusema mwenye ngozi ndiye aliyekula nyama au? AK-47 iliyokutwa huko shambani kwa diwani ni yake kweli au laah maana ina shida imetumika kwa matukio sana
 
Kitu kikikutwa kwako au shambani ndo kusema mwenye ngozi ndiye aliyekula nyama au? AK-47 iliyokutwa huko shambani kwa diwani ni yake kweli au laah maana ina shida imetumika kwa matukio sana

Kaka hii mbona ni kama story fulani inayoendelea, Nakushauri uimwage hapa from beginning ili baadhi yetu tusiojua chochote juu ya hicho unachozungumzia hivi sasa tupate picha na kuweza kuchangia vyema!!!!
 
Yaani baba ubaya nimeisikia juu kwa juu kwenye daladala nikaingia hapa JF nione kama kuna lolote jambo ndio nikaiweka kwa kweli sina full stories nimesikia kwenye matangazo ya magazeti asubuhi mkuu.
 
Mimi nahisi itakuwa wahalifu wameificha tu...Unajua hii mijambazi mijanja inajua sio rahisi katika hali ya kawaida mtu kuhisi silaha katika shamba la Diwani.
 
hapo nyuma ya pazia, cheki vzr utagundua jambo, mkuu wa mkoa na sio polisi, tv chanel 10, km movie vile, imeandaliwa vzr sana tu.
 
Back
Top Bottom