Of course ameshinda but judges ndo hvyo tena!! Tungoje marudiano panapo uhai na uzima.
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
Kuna series ya The Mafias ninaifuatilia, hawa mafia ni hatari sana. Wanaweza hata kutoa donge kubwa zaidi (kwa Pacqy) ya zawadi asilia ili apoteze mechi au kumtishia maisha ikiwa hakukubali kushindwa.wacheza kamari na umafia umetawala sana huu mchezo...n matokeo haya ni wazi yalikuwa yamepangwa kuwanufaisha wamiliki wa Casino hapo Les Vegas..........