Blood Hurricane
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,175
- 301
Hongera manji,tunataka uige mfano wa huyu tajiri wa congo uifanye yanga iwe kama hivi....ili matajiri wengine wenye mapenzi na timu nyingine nao waige mfano wako na hatimae kuleta maendeleo kwenye club zetu
Sehemu ya Kupumzikia wakuuView kutoka sehemu ya juu ya VIPMoise Katumbi akiangalia uwanja viti vya mzungukoMakabati ya kuwekewa nguo vyumba vya kubadilishia
Picha zote kwa hisani ya Mtandao wa TP Mazembe
Kandambili wafikie hivi? Thubutuuuuuuuuuuu hawana uwezo huo hata aje Rais wa Nchi. Kwa yale matapishi ya Jangwani au kuna kingine?