Mangungu kuhutubia Taifa kesho, Mambo atakayozungumza ni :

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu hapo kesho atahutubia kupitia Sport HQ ya E -fm

Mambo atakayoyazungumzia

- Suala la Uchaguzi ndani ya Simba

- Suala la transformation

- Katiba ya Simba kumnyima mamlaka mwenyekiti ambaye ana 51% ya wanachama

- SIMBA KUUZWA Miaka 5 iliyopita

- Suala la uwekezaji ndani ya Simba

-Suala ya kuvuka nusu fainali klabu Bingwa

-Suala la usajili wa Prince Dube na Bruno Gomezi
 
Ngungus nakuita mara tatu
 
Attachments

  • FB_IMG_17096577787573605.jpg
    FB_IMG_17096577787573605.jpg
    197.1 KB · Views: 1
Mnatakiwa muwe na shukurani. Uongozi wake umefanikisha Simba kutinga robo fainali na huenda ikafika hata nusu fainali kama sio fainali. Au mtasema hahusiki na mafanikio ya Simba? Au kwenu Mo na try again ndio wa maana!!
 
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu hapo kesho atahutubia kupitia Sport HQ ya E -fm

Mambo atakayoyazungumzia

- Suala la Uchaguzi ndani ya Simba

- Suala la transformation

- Katiba ya Simba kumnyima mamlaka mwenyekiti ambaye ana 51% ya wanachama

- SIMBA KUUZWA Miaka 5 iliyopita

- Suala la uwekezaji ndani ya Simba

-Suala ya kuvuka nusu fainali klabu Bingwa

-Suala la usajili wa Prince Dube na Bruno Gomezi
Acha uongo dogo, hyo 51% ya uwekezaji umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom