King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,960
- 69,297
Sheikh Alhad ni noma,ngoja tuone hizo siku 30 zilizobaki maana kashaanza kuelekea kibra hamuongelei kabisa ANKALI MAGU,kabaki kugombana na chahali tu.Na aende tu hanafaida tena kwasasa

Sikuhizi anamdiss DAB, Diamond na Zari.
Yule wivu ndio unamsumbua.anajisifu anaachiwa gari na mwanaume huko huyo anayemchamba kaachiwa kila kitu wallah Alhad mbaya