poorbillionaire
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 424
- 237
Blalifuul
kwetu kuna ticha mstaafu alikuwa anaitwa mwl anyway, maana kila sentensi ilikuwa lazima aanze nalohahahaa hii topic very funny....mie niliwahi kuona mtu kila analoulizwa lazima atie 'ofkozii' tehe tehe